Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Taratibu mkuu.
Usipanic na usikasirike.
Hata mpendwa Rais wetu Mh J P Magufuli kesha sema, msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Na ukweli huwa ni stubborn, huwezi kuukana mchana kweupe.
Mada hapa ni kuwakaribisha chamani wachumia tumbo wasio na uchungu na CCM.

Na katika mada hii nilisema, tunapanda michongoma kwa nia ya kuvuna maembe!

Thats the crux of the matter and the underlying paradox of the principle!
Mamluki hawajawahi kushinda vita, maana, tofauti na wana CCM damu damu, wao wangependa ku enjoy their pay na hawana nia ya kukifia chama.
Ukiongelea ya Nape per se, mtu aliyeibua mjadala huu, ni kujiside track na kundeleza your parochial view of the debate.
See the bigger picture.
Taratibu vile vile mkuu.
Nape comes off like a disgruntled politician.
Je, angekuwa Waziri wa Habari bado angesema aliyosema?
Lakini hilo linaipa nafasi , kwamba mtu aliyeshiba huwa haoni ukweli!
 
Hapa ndio upinzani huwa hueleweki, leo Nape wa kumshabikia kweli kisa tu anaenda tofauti na wenzake wa ccm akiwa ndani ya hiyo hiyo ccm?

Mpinzani gani anamtetea Nape? hapa watu wanachochea kuni moto uwake.
 
Mbona siasa za kibanda huwa mnaziogopa sana.
Huyu ndo ni wewe au role model wako?
Screenshot_20180821-064310.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona siasa za kibanda huwa mnaziogopa sana.
kama kweli unaamini hicho ni kibanda mwambie aruhusu mikutano uone... mwehu kabisa wewe. we unasaidiwa na marefa . usalama . policcm nk unakaa unajisifu ati kibanda wakati hata wakuu wa wilaya na madas unaazima toka hapo tena kwa kununua?
 
Taratibu mkuu.
Usipanic na usikasirike.
Hata mpendwa Rais wetu Mh J P Magufuli kesha sema, msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Na ukweli huwa ni stubborn, huwezi kuukana mchana kweupe.
Mada hapa ni kuwakaribisha chamani wachumia tumbo wasio na uchungu na CCM.

Na katika mada hii nilisema, tunapanda michongoma kwa nia ya kuvuna maembe!

Thats the crux of the matter and the underlying paradox of the principle!
Mamluki hawajawahi kushinda vita, maana, tofauti na wana CCM damu damu, wao wangependa ku enjoy their pay na hawana nia ya kukifia chama.
Ukiongelea ya Nape per se, mtu aliyeibua mjadala huu, ni kujiside track na kundeleza your parochial view of the debate.
See the bigger picture.
Tatizo ni writing skills zako. No serialism. hujngi hoja ya exodus tunayoiona bali kumtetea Nape kama mwana CCM halisi. Forgetting the fact that he is a persistent failure of his own political inclination. Hao unaowaona kama wahamiaji baadhi walikuwa na kadi za CCM kabla ya Nape! Kutohama siyo uzalendo sana kuliko wanaohama. Unaingia chama kinachoeleweka ni chama cha kupiga dili, halafu humo ndani unajidai wewe una vision tofauti, umeitoa wapi? That defines personal dig up of the basics of your own survival cause.
 
Survival cause?
Ha ha ha!
Man I have nothing to lose!
Mimi ni mwana CCM by inclination.
Hata hivyo CCM ikifa leo , no tears will be shed.
Na kama hujaona the underlying principle ya hoja ya Nape, that is beyond your intellectual imagination, which is a pity!
 
Nape ndiye CCM; hii ya sasa ya (Pole) squired ya kununua madiwani na kucheza na Tume ni ya kikanjanja tupu haina maisha itaangukia pua soon.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom