Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Umpende au usimpende, Nape ni moto!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,625
Reaction score
14,591
Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chama, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.

Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.

Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.

Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.

Vijana tulimwambia "Go home". Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi. Serikali ikakataa, Jamaa akaondoka. Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.

Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.

HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.

Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.

Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda. Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Kajifunze Kuandika kwanza [emoji48][emoji48]
 
Kidumu Chama Cha Mapindu
Kidumuu..na kibanda cha kutafunia ruzuku kidumuu!!
1460567015613.jpg
 
Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chana, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.
Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.
Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.
Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.
Vijana tulimwambia "Go home".
Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi.
Serikali ikakataa
Jamaa akaondoka.
Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.
Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.
HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.
Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.
Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda.
Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
kidumu au kindoo?? m naona kindoo

ben.big.boss
 
CCM kwa sasa ni Lijidude likubwa sana. Baada ya 2023 kuicontrol itakuwa kazi sana sana
 
Mkuu nimeanza kukuheshimu, siku hizi umeanza kusema kweli daima huo ndiyo uzalendo
 
Kidumuu..na kibanda cha kutafunia ruzuku kidumuu!!
View attachment 841955
Ugonjwa uliongia ccm kwa sasa wa dokta magufuli ni wakupambana na chadema sio shida za watu sasa mwenzio kaongelea misukule inayokuja huko unaanzisha mada yako ya ofisi za chadema unazijua ofisia alizotumia nyerere kuipa uhuru Tanganyika? Unafurahia majengo mazuri ya umma yanayotumiwa na ccm ukifikir ni chama kimejenga kumbe ni kodi za watu wa vyama vyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom