Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Mbona siasa za kibanda huwa mnaziogopa sana.
 
jengo3.jpg
1460567015613.jpg

Mpaka inashangaza dunia!
 
Kidumuu..na kibanda cha kutafunia ruzuku kidumuu!!
View attachment 841955
Mkuu unafikiria kwa kutumia Kichwa au mashavu

Naona Kama Kichwa kimekuzidi uwezo wa kufikiri Sasa mashavu yanakusaidia

How comes wanaongelea mambo tofauti unaweza picha za chadema, kwa mawazo yako wote humu wana vyama

Wengi humu hawana vyama mkuu wanakosoa na kusifia panapohitajika
 
Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chana, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.

Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.

Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.

Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.

Vijana tulimwambia "Go home". Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi. Serikali ikakataa, Jamaa akaondoka. Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.

Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.

HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.

Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.

Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda. Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Kosa lenu kubwa mtakalokuja kulijutia milele ni kukataa kitenganisha kofia ya Urais na chama, mngekuwa mnasikiliza ushauri kwa aina ya Rais aliyepo mlipaswa kumuacha JK aongoze chama yeye ni mwanasiasa siyo huyu ambaye hajawahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Ila all in all kwa kifupi ukiangalia hoja za wanaccm humu jamvini hata ningekuwa ni mimi siwezi kuwapa madaraka, vijana wa ccm na wazee ni bora ya wazee wana akili active kuliko vijana ushahidi upo humu wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anamuogopa sana Nape
Nape ni mwanasiasa na amekulia ccm, ndio kijana pekee aliweza kumtunishia msuli Lowasa mpaka Makamba na Emanuel Nchimbi wakamdhibiti.

Nape ndio ilibidi awe mwenyekiti wa Uvccm Taifa baada ya Benno Malisa lakini kutokana na siasa chafu za ccm wakaingiza mizengwe uvccm wajakabidhiwa mashoga kutoka Zanzibar waiongoze kisa kumkomowa Nape.

Haya ni moja ya makosa makubwa sana aliyofanya JK kwa kuendekeza siasa za makundi.

Ukweli utabaki, sisi wana CCM wa siku nyingi tunastaajabishwa na mwenendo huu.
Tumezipokea siasa za vyama vingi kwa mikono miwili.

Lakini hili la wapinzani kujiuzuru nafasi zao en masse , na kujiunga na CCM na hapo hapo kupewa ulaji, hilo linatupa shida .

Na litaleta ukakasi wa kimahusiano wa Umoja katika chama.
Huhitaji Phd kuona linaloweza kutokea kati ya yule wa CCM aliyeshindwa na mpinzani katika kinyag'anyiro cha ubunge, udiwani n. k.
Leo mzinzani anahamia CCM na anapewa kugombea nafasi ile ile.
Kwanza najiujliza anapendwa mtu au chama?
Pili tayarai umeshajenga chuki isiyoisha ndani ya chama kati ya mpinzani na kundi lake na yule mwana CCM mtiifu.

Tusiyapuuzie haya, ndio maana yale anayosema Nape makes sense.
 
Siku akiongea usiyoyapenda uje hapa jukwaani kumpongeza pia.
Wasomi wanasema lazima uwe objective in thinking.
Kama wewe uliyejiunga juzi hapa JF unafikiri watu(wana CCM) wanafikiria tu ugali wataupata wapi, basi you are in a wrong place ,wrong time.
 
Nape ni mwanasiasa na amekulia ccm, ndio kijana pekee aliweza kumtunishia msuli Lowasa mpaka Makamba na Emanuel Nchimbi wakamdhibiti.

Nape ndio ilibidi awe mwenyekiti wa Uvccm Taifa baada ya Benno Malisa lakini kutokana na siasa chafu za ccm wakaingiza mizengwe uvccm wajakabidhiwa mashoga kutoka Zanzibar waiongoze kisa kumkomowa Nape.

Haya ni moja ya makosa makubwa sana aliyofanya JK kwa kuendekeza siasa za makundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naoe huwa anatoa kavu live, you take it or leave it
.
 
Huyu Nape alishafukuzwa uvccm,Makamba na kikwete wakambeba,atatpata tabu sana kwenye kufikiriwa kugombea ubunge.Hatufai
 
Huyu Nape alishafukuzwa uvccm,Makamba na kikwete wakambeba,atatpata tabu sana kwenye kufikiriwa kugombea ubunge.Hatufai
Rais Magufuli aliwahi kusema, Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom