Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Umpende au usimpende, Nape ni moto!

Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chama, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.

Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.

Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.

Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.

Vijana tulimwambia "Go home". Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi. Serikali ikakataa, Jamaa akaondoka. Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.

Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.

HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.

Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.

Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda. Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Nataka kupima uwezowake. Hivi,ana elimu gani rafiki yetu huyu? Kusota na chama ni sawa lakini kwa kiwango cha kila muhusika. Usizibue vyoo kwa ufasaha baadaye uombe kutumia choo cha bedroom ya mwajili wako! Kila mtu ana kazi anayoiweza.
 
Nape anadumisha ahadi muhimu ya mwanaccm inayosema, nitasema kweli daima, uwongo kwangu ni mwiko.......
Umesahau alikuwa mmoja wa waanzilishi wa CCJ wakati akiwa katika msoto Ofisi ndogo Lumumba!
 
Nataka kupima uwezowake. Hivi,ana elimu gani rafiki yetu huyu? Kusota na chama ni sawa lakini kwa kiwango cha kila muhusika. Usizibue vyoo kwa ufasaha baadaye uombe kutumia choo cha bedroom ya mwajili wako! Kila mtu ana kazi anayoiweza.
Hata kina Musuguri walioongoza majeshi yetu kumpiga Nduli Idi Amin na wanajeshi wa Libya hawakuliona darasa, hawakujua kusoma na kuandika.
Zibua akili yako kwa hayo mengine.
 
Hii ndio hofu ya sisi wana CCM damu damu.
Huwezi pandikiza masalia ya CHADEMA na bado ukabaki na chama.
CCM sasa inakuwa gulio la kupata vyeo kwa wapinzani.

Mkuu mchezo wa kununua wapinzani hata Nape aliucheza sana. Nani hakuwa anamuona alivyokuwa anahadaa umma eti wanacdm wamejiunga na ccn kisha ujiangalia kadi zilizorudishwa na wanacdm zote ni mpya. Alicheza michezi ile sana sema yeye alikuwa na kiasi.

Sasa hivi mmepata mwenyekiti asiyeweza siasa za ushindani. Anachofanya ni kununua viongozi wa upinzani na kuwapa cheo kwani hahitaji kura ya mtu yoyote kuwarudisha madarakani kwakuwa anaweza kuliamrisha jeshi la polisi kusimamia uporaji na tume ya uchaguzi kumtangaza mshindi mgombea yoyote wa ccm. Mwenyekiti wenu anafahamu kabisa uchaguzi huru ns haki mwanaccm hawezi kushinda. Hivyo haoni ulazima wa kumpa nafasi mgombea wa ccm kwani anajua hakuna ushindi halali pindi unapokuwa mgombea wa ccm. Nadhani huu ni muda wa Nape na wanaccm wenzake waone kile walichokuwa wanatetea cha rais kuwa na madaraka yaliyopitiliza. Walitegemea cheo cha rais kitawabeba ccm, lakini kwa sasa madaraka hayo yanakula mpaka kwa wanaccm na hakuna la kumfanya muongoza dhuluma. Mwambie Nape apambane na hali yake.
 
Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chama, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.

Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.

Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.

Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.

Vijana tulimwambia "Go home". Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi. Serikali ikakataa, Jamaa akaondoka. Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.

Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.

HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.

Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.

Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda. Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Nadhani huijui CCM na mbinu za ushindi! Aidha ni hatari kuwa mwanachama kimaslahi. Ati wapate vyeo wanaccm wazamani siyo wanaojiunga sasa! Mawazo haya si ya kuendekeza. Uanachama ni itikadi siyo vyeo. Nape Nnauye unakumbuka akina Msh.., wa mambo ya Nje mbona alikitumikia chama bila kudai cheo hadi kustaafu? Je, Marehemu Hiza hakutoka CUF akapewa cheo, leo hii Kwanini iwe nongwa? Mifano ni mingi. Nakuunga mkono kuhusu umuhimu wa Elimu ila kuhusu wahamiaji ni vyema wakapewa vyeo kuvuta wengine wakati nyie mkiwachunguza uadilifu wao.
 
Hana moto wala nini. Ni kigori tuuuuu. Nape mnamdanganya jamani. Labda kama mmeamua kummaliza kisiasa. Akitoka huko aliko hana chake tena kwenye siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuja vijana wa Lumumba na kukebehi hoja zako..

Hilo jambo weledi walishaliona kitambo,japo sikubaliani na Nape kama Nape,hawa ndiyo waliyofanikisha uovu wote huu unaondelea ,kwa tamaa ya kubaki madarakani..

CCM ya leo kweli mpaka ishinde inahitaji magari ya washawasha? Mbereko ya NEC na Msaada wa Polisi kufanikisha ushindi wao?

Namkumbuka Katibu Mkuu HORACE KOLIMBA (R.I.P) ..aliwaambia ukweli CCM Imepoteza mwelekeo .
 
Hapa ndio upinzani huwa hueleweki, leo Nape wa kumshabikia kweli kisa tu anaenda tofauti na wenzake wa ccm akiwa ndani ya hiyo hiyo ccm?
 
Nilipokuwa kijana wa CCM tuliwahi kuwa na kile kitu kinaitwa kiburi ya chama, kunywa maji ya bendera, na kutetea kwa hali yoyote nchi na chama.

Hizo ndo siku chama kilikuwa chama.

Tuliandamana miaka hiyo kutetea ukombozi kusini mwa Afrika na walioshirikiana na makaburu tuliwapasha kisawasawa.

Nakumbuka Ufaransa ikishirikiana na makaburu, waziri wao wa mambo ya nje alikuja Tanzania kutoa misaada.

Vijana tulimwambia "Go home". Yule waziri akatoa shinikizo Serikali imwombe radhi. Serikali ikakataa, Jamaa akaondoka. Hiyo ndo ilikuwa jeuri ya vijana wa chama.

Kwa leo Nape naweza kumuinguza kuwa ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa si tu kuelewa, bali kutetea chama na itikadi yake.

Sasa leo tunaona vijana toka vyama mbali mbali wakitimkia CCM.

HATUJUI misimamo yao, hatujui itikadi zao.
Tunawapokea na kuwapa vyeo, na kuwaacha walio sota na chama.

Watu wanaohamia CCM zaidi sana ni wachumia tumbo, na tunawaenzi sasa.

Naunga mkono msimamo kama ule wa Nape.
Hakika tutavuna tunachopanda. Hatuwezi kupanda michongoma, halafu tuvune maembe.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Hata Lowassa alipewa nafasi kina dr Slaa wakatoswa.
 
Huyu Nape alishafukuzwa uvccm,Makamba na kikwete wakambeba,atatpata tabu sana kwenye kufikiriwa kugombea ubunge.Hatufai

Hapa unaonyesha wanaofikiriwa ubunge huko ccm ni makondoo. Wale wajasiriatumbo wanaofumbia macho uovu wowote ili mradi wanabaki na vyeo vyao. Nape pamoja na unafiki wake, lakini kajitolea kuzungumzia wanaccm wengi wanawanaojua ccm ni chama cha siasa. Hiyo ccm ukawa ya Magu inateyotegemea vyombo vya dola kujiweka madarakani lazima italeta machafuko siku za mbeleni.
 
Ndoto za alinacha
 
Hata kina Musuguri walioongoza majeshi yetu kumpiga Nduli Idi Amin na wanajeshi wa Libya hawakuliona darasa, hawakujua kusoma na kuandika.
Zibua akili yako kwa hayo mengine.
Waliporudi kumuondoa Amin walidai vyeo eti tu kwa sababu wamefanya makubwa? Unamtetea mtu mzembe eti kwa sababu kajitolea makubwa huko kwenye chama, ndo adeke? Yaani adhalilishe uwaziri kwa mafanikio yake ya chini huko alikokuwa? Aliweza hayo ya chini sasa ndo alazimishe uwaziri kuwa mali yake. Elimu duni!!
 
Kosa lenu kubwa mtakalokuja kulijutia milele ni kukataa kitenganisha kofia ya Urais na chama, mngekuwa mnasikiliza ushauri kwa aina ya Rais aliyepo mlipaswa kumuacha JK aongoze chama yeye ni mwanasiasa siyo huyu ambaye hajawahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Ila all in all kwa kifupi ukiangalia hoja za wanaccm humu jamvini hata ningekuwa ni mimi siwezi kuwapa madaraka, vijana wa ccm na wazee ni bora ya wazee wana akili active kuliko vijana ushahidi upo humu wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeeleweka hawa vijana wa CCM mtandaoni ni vilaza wa hali ya juu JPM ni bora aendelee kuteua nje ya hawa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliporudi kumuondoa Amin walidai vyeo eti tu kwa sababu wamefanya makubwa? Unamtetea mtu mzembe eti kwa sababu kajitolea makubwa huko kwenye chama, ndo adeke? Yaani adhalilishe uwaziri kwa mafanikio yake ya chini huko alikokuwa? Aliweza hayo ya chini sasa ndo alazimishe uwaziri kuwa mali yake. Elimu duni!!
Taratibu mkuu.
Usipanic na usikasirike.
Hata mpendwa Rais wetu Mh J P Magufuli kesha sema, msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Na ukweli huwa ni stubborn, huwezi kuukana mchana kweupe.
Mada hapa ni kuwakaribisha chamani wachumia tumbo wasio na uchungu na CCM.

Na katika mada hii nilisema, tunapanda michongoma kwa nia ya kuvuna maembe!

Thats the crux of the matter and the underlying paradox of the principle!
Mamluki hawajawahi kushinda vita, maana, tofauti na wana CCM damu damu, wao wangependa ku enjoy their pay na hawana nia ya kukifia chama.
Ukiongelea ya Nape per se, mtu aliyeibua mjadala huu, ni kujiside track na kundeleza your parochial view of the debate.
See the bigger picture.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom