DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,797
- 30,412
Na wao si wazuri sura. Au wana shughuli ipi inayomweka mjiniWeee wakina kim k ni anga zingine huyu anasubiri
Na wao si wazuri sura. Au wana shughuli ipi inayomweka mjiniWeee wakina kim k ni anga zingine huyu anasubiri
Wale naona wana mkataba na satan si una mwona babayao wa kambo alivyo hata shetani naona huwa anawaogopa yaani maisha yao yanakwenda kinyume ilimradi shekeli ziingieNa wao si wazuri sura. Au wana shughuli ipi inayomweka mjini
Ina maana shetani wa marekani ni tofauti na shetani wa TanganyikaWale naona wana mkataba na satan si una mwona babayao wa kambo alivyo hata shetani naona huwa anawaogopa yaani maisha yao yanakwenda kinyume ilimradi shekeli ziingie
Ya CCM ndio waratibu wa wajane!Wamealika na media kabisa. Hivi tangu January hawa wameshawatembelea wajane wangapi?
Jamaa kachomoa betri [emoji1]Duuh![emoji16][emoji16]
Anafundishwa martial arts na huyo Mtoto wangu [emoji28]
"AK47" kila la heri Mzee BabaMwenye namba ya jack machache anitumie na Mimi nikampe pole.
[emoji4][emoji1787]mkuu kama huna hela..utatembelewa na kunguni tu
Sema haki ya nani kama kweli anakuzidi wewe Diana uliyepo hapo kwenye pp yako Mama Mkwe [emoji28]Jack mzuri sana
Fursa... FursanaView attachment 1190668View attachment 1190668UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.
Changieni kwa tafakuri.... Wengi wetu hapa ni wagane na wajane watarajiwaView attachment 1190668View attachment 1190668UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.
Changieni kwa tafakuri.... Wengi wetu hapa ni wagane na wajane watarajiwa
Inabidi ajitambulishe ili wamjue.Kuna mke wa cousin wangu pia ni mjane ila hajatembelewa ama wanatembelea Hela zake za urithi. Duu huyu Shemu wangu yupo interior sana. Sijui kama wataweza kumfikia
Wa mrema hamu hana[emoji23][emoji23]Lakini kwa Jack na marehemu Mengi kama sio ugonjwa wangezeeka pamoja???? Hata huyu dada alijua tu kuna siku angetanguliwa..kama yule wa Mrema nae
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1190668View attachment 1190668UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.