UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.
Kuna mke wa cousin wangu pia ni mjane ila hajatembelewa ama wanatembelea Hela zake za urithi. Duu huyu Shemu wangu yupo interior sana. Sijui kama wataweza kumfikia
Ila dada zangu mnaodanga muone aibu,yaani huyu kahomola mali zote za Mengi daah hana hata huruma kwa familia ya Mengi.Alafu kesho nae utasikia anapewa tuzo ya malkia wa nguvu,anatoa ushauri kwa wajasilia mali kumbe yy ni mjasilia K.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.