Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Huo umoja umeqnzishwa lini?? Na majukumu yake ni nini?? Na ni Kwa watu WA aina gani?? Mbona wengi wetu ndo tumeujua leo?? Mama yangu pia naye ni mjane mbona sijawah msikia hata akiwaongelea??
 
Hawa wahuni tu hawawezi kufanya kwa watu wote, wapo hapo kimkakati, wamealikwa ili bibie apate public sympathy baada ya wosia wake wa kitapeli
Naona wameona hati za mirathi mkuu,hii ndio Bongo na ndio maana ikaitwa kwa hilo jina,maisha ya ujanja ujanja hata kwa wenye nazo,maigizo sijui hadi lini anayafanya huyu mjane.
 
Haaaa

Mwoneni huyu
IMG_20190823_164814.jpeg
 
Back
Top Bottom