Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Muda ni Jawabu






















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
Akitaka asibugudhiwe aichangie CCM nusu ya utajiri wake ataishi kama malkia
 
Akitaka asibugudhiwe aichangie CCM nusu ya utajiri wake ataishi kama malkia
Agombee udiwani kwa tikiti ya CCM halafu awe anawagawia elfu saba saba wajumbe. (Hivi kwanini wajumbe wa chama hiki ni watu wenye njaa sana)???
 
View attachment 1190668View attachment 1190668UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.
Anavyoongea kama mtu fulani hivi kaonewaaaaaaaa kumbe staili za upigaji.... mweh! Ovyooooi
 
Back
Top Bottom