Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee!
Umeona upande mmoja wamepanda bange, upande mwingine wameweka viazi mviringo vya kuzugia hapo ni ofisi ya mkoa
Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee!
Stay tunedView attachment 1792135
Mbona ofisi haina eneo la bendera kama ilivo hapo makao makuu
Rose Mayemba ni miongoni mwa waliohakikisha nyumba hii inajengwaItabidi nimpigie Simu Mdogo wangu Rose Mayemba nimuulize vizuri
PoleHahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee!
Kabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!?Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe
Ilikuwa inavutwa na mwendazake kipindi anafundisha sengerema secondaryHayo majani hapo mbele ni bangi?
Hata watendaji wa nyumba za ibada wanatubutua kwa kauli mbiu hii hiiHakika kwa kazi hii iliyotukuka Mungu atawarudishia mara dufu .
Kabla hii haijakamilika ofisi ya Mkoa itabaki pale pale ilipo leo , maana ipo na inaendelea na kazi za chamaKabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!?