Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

Mhhh! Badala ya kuchangashina kwajili ya maendeleo, tumebaki kuwahangaikia wanasiasa, sijui lini tutabadalika. Kwa nini wanasiasa wasichangishane wao kwa wao? Watu kama nyinyi ndo wa kwanza kuleta nyuzi za maisha magumu. Ila tunamshukuru mola kwa kutupa rais aliyeleta mabadiliko mengi
Jaribu kuficha ujinga wako! Binadamu asiye mwanasiasa ni mfu!
 
Mnawachangisha wananchi hao hao mnasema hawana hela sababu wamebanwa na Magufuli??

Kwa nini Mbowe asitoe tu hiyo hela kwa sababu ana utajiri wa kurithi kutoka kwa baba yake?
Usituambukize ufukara wa familia yako. Mbowe amechanga nyingi sana au unataka na wewe akuchangie?
 
Mhhh! Badala ya kuchangashina kwajili ya maendeleo, tumebaki kuwahangaikia wanasiasa, sijui lini tutabadalika. Kwa nini wanasiasa wasichangishane wao kwa wao? Watu kama nyinyi ndo wa kwanza kuleta nyuzi za maisha magumu. Ila tunamshukuru mola kwa kutupa rais aliyeleta mabadiliko mengi
Pale itakapotokea hakuna kuwabambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi wataendelea kuwaelewa na kuwachangia
Hawaitaaji ruzuku.
Chato hawachangii Wala kuomba maendeleo mabilioni yanamiminika .
Sisi ndio wa kutuchangisha hatuhitaji

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1690755

Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo la bunge mwaka 2017 , inasemekana ofisa huyo alitumwa kwenda Nairobi kummalizia Tundu Lissu baada ya kushindikana kumuua Dodoma.

Taarifa ya Mwakihaba iliishitua Serikali ya Kenya ambapo ikaamua kuongeza ulinzi kwenye hospitali hiyo jambo lililowaudhi baadhi ya wakuda wa Tanzania , Mwakihaba akakamatwa na kushitakiwa mahakamani ambapo amehukumiwa kifungo au kulipa faini ya tsh mil 5.

Kampeni ya kulipa faini hiyo inayoendeshwa na Chadema kanda ya Victoria inakaribia kukamilika , ambapo mfungwa huyo anatarajiwa kutolewa gerezani kesho .

Mungu ibariki Chadema.
Uzuri wetu tunaanza kumsingizia mtu jambo halafu tunapodhani watu wameamini huo uongo tunaanza kulaani na kuupinga kwa nguvu zote ule uongo tunaodhani umekuwa ukweli. Hata siku moja uongo hata ukiupaka mafuta na viungo vingi hautakuwa ukweli. Na sio wote wanaodanganyika.
 
Hivi hapo hoja za kujadili zaidi ilikiwa ni michango au kama ni kweli kuna mtu alitumwa akamdhuru Lisu?

Watu ni wepesi kutolewa katika kiini cha jambo!
 
Mleta uzi,
Hapo kiasi kilichopatikana ni zaidi ya hapo, kwa waliochangia kupitia namba iliyotahwa anzisheni pettion ya kuomba mtadao wa simu inayodaiwa kupokea mchango wawape hesabu kamili ya kiasi kilichopitia akaunti hiyo na muamala wa mkupuo au kidogo kidogo tangu kampeni ianzishweili mjue mbivu na mbichi. Mtabaki vinywa wazi lakini kiasi kianchodaiwa kuchangishwa ni Tsh 4,774,289/00 kasoro laki
mbili na ushee kufikia lengo.

'Zimwi likujualo halikuli likakwisha' Guilty minds are always frustrated and exposed by illusions features.
shida yako nini ?
 
Ya Nini yote,mboni ATCL haikaguliwi na CAG

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wetu tunaanza kumsingizia mtu jambo halafu tunapodhani watu wameamini huo uongo tunaanza kulaani na kuupinga kwa nguvu zote ule uongo tunaodhani umekuwa ukweli. Hata siku moja uongo hata ukiupaka mafuta na viungo vingi hautakuwa ukweli. Na sio wote wanaodanganyika.
Hoja yako ni nini hapa?
 
Mleta uzi,
Hapo kiasi kilichopatikana ni zaidi ya hapo, kwa waliochangia kupitia namba iliyotahwa anzisheni pettion ya kuomba mtadao wa simu inayodaiwa kupokea mchango wawape hesabu kamili ya kiasi kilichopitia akaunti hiyo na muamala wa mkupuo au kidogo kidogo tangu kampeni ianzishweili mjue mbivu na mbichi. Mtabaki vinywa wazi lakini kiasi kianchodaiwa kuchangishwa ni Tsh 4,774,289/00 kasoro laki
mbili na ushee kufikia lengo.

'Zimwi likujualo halikuli likakwisha' Guilty minds are always frustrated and exposed by illusions features.

Mpaka sasa imepatikana 60m, ila tutaendelea kuchanga zaidi. Je una ushauri mwingine tena?
 
View attachment 1690755

Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo la bunge mwaka 2017 , inasemekana ofisa huyo alitumwa kwenda Nairobi kummalizia Tundu Lissu baada ya kushindikana kumuua Dodoma.

Taarifa ya Mwakihaba iliishitua Serikali ya Kenya ambapo ikaamua kuongeza ulinzi kwenye hospitali hiyo jambo lililowaudhi baadhi ya wakuda wa Tanzania , Mwakihaba akakamatwa na kushitakiwa mahakamani ambapo amehukumiwa kifungo au kulipa faini ya tsh mil 5.

Kampeni ya kulipa faini hiyo inayoendeshwa na Chadema kanda ya Victoria inakaribia kukamilika , ambapo mfungwa huyo anatarajiwa kutolewa gerezani kesho .

Mungu ibariki Chadema.
Huu ndio undugu. Safi sana
 
Uzuri wetu tunaanza kumsingizia mtu jambo halafu tunapodhani watu wameamini huo uongo tunaanza kulaani na kuupinga kwa nguvu zote ule uongo tunaodhani umekuwa ukweli. Hata siku moja uongo hata ukiupaka mafuta na viungo vingi hautakuwa ukweli. Na sio wote wanaodanganyika.
haifahamiki kama unalia au unalalamika
 
Mnawachangisha wananchi hao hao mnasema hawana hela sababu wamebanwa na Magufuli??

Kwa nini Mbowe asitoe tu hiyo hela kwa sababu ana utajiri wa kurithi kutoka kwa baba yake?
Kwamba hata buku au jero unapata ukakasi wa kuchangia mkuu?
Cost of living kuwa juu nchini haimaanishi ukose hata 5000 in your disposal
 
Mnawachangisha wananchi hao hao mnasema hawana hela sababu wamebanwa na Magufuli??

Kwa nini Mbowe asitoe tu hiyo hela kwa sababu ana utajiri wa kurithi kutoka kwa baba yake?

Hawajachangishwa watu wa Magufuli, bali wameombwa michango wanacdm kutokana na mwanachama wao kufanyiwa uonevu. Ingekuwa wananchi wana hali nzuri wala usingepita mchango maana hata huyo aliyehukumiwa anagelipa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom