Umezaliwa Mwezi Gani??

Umezaliwa Mwezi Gani??

Mmmmh nina mashaka....... mbona watu waliozaliwa mwezi mmoja hutofautiana?
 
June.. Kumbe ndo maana natakwaga sana na jinsia -ke..!
 
july - kweli mtupu. tena kwny birthday yangu ntawaalika wana jf waliopo mza.
n.b. zawadi isipungue thaman ya 10 thou!
 
Me binafsi😛arty:yangu ni 11 November.
Lakini napingana mtoa mada cjui kwa nini
 
Naona WanaJf wengi wamekimbilia kwenye Mwenzi June.
Ngoja kesho nimuulize dokta aliyeni hudumia wakati wa kuzaliwa kwangu km nilizaliwa kwenye Mwenzi june mbona sina mvuto kwa Mabibie nimekuwa ni Mtu wa kulia kila siku.
 
Back
Top Bottom