Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Nimezaliwa 22 August.
Kumbe Preta na wewe ni mjasiri eh? Ila wanatuonea eti wakorofi, yaani mtu akupe za uso we ukimpa za pua unaitwa mkorofi.... shenzy sana.he he.. Asprin... FirstLady1...eti ni kweli sisi tupo hivyo....kama huyu jamaa anavyosema.....?
Barnabas Shadrac kHAYA TWIN MIMI JUNE 17Nimezaliwa June tarehe 22, yaani juzi kati tu nilisherehekea mwaka mpya.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Kumbe Preta na wewe ni mjasiri eh? Ila wanatuonea eti wakorofi, yaani mtu akupe za uso we ukimpa za pua unaitwa mkorofi.... shenzy sana.
FirstLady1 popote ulipo, njoo jibu swali la mjasiri mwenzangu.
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!khaa....mi sijui watu wakoje....eti wakorofi....mtu alete unazi nisimng'oe ngogwe si ntakuwa nimelogwa.....
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!
Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi
FEBRUARY = :> Mwenye bahati na mkweli
MARCH =:> Msumbufu ana wivu na penzi la kweli na nimzuri
APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.
MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi
JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara
AUGUST =:> Makini na mchapa kazi
SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri
OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki
NOVEMBER= :> Ana kipaji na ni mbunifu
DECEMBER =:> M2 wa starehe 2.
he he.. Asprin... FirstLady1...eti ni kweli sisi tupo hivyo....kama huyu jamaa anavyosema.....?
Madame B mbona umetoa ile avatar yrtu maridadi..... YYYYYYYYYYYYYYYYUna mvuto gani wewe Junior bwana?
UDSM hawajambo?
Waambie nimewamisi sana.
Asprin, babu kumbe ulizaliwa mwezi mmoja na mjukuu wako! ebu taja na tarehe kabisa..Kumbe mie ni mjasiri na mkorofi?
Ndo nimejua leo.
Leo pia nimejua kuwa The secretary ana mvuto wa mapenzi.:A S-rose:
Kumbe mie ni mjasiri na mkorofi?
Ndo nimejua leo.
Leo pia nimejua kuwa The secretary ana mvuto wa mapenzi.:A S-rose:
sisi huwa hatuna maneno na watu....watu ndo huwa wanataka maneno na sisi....