Ni vigumu sana kwa chama kilichozoea kushinda. kikakubali kushindwa. ccm inahubiri kuheshimu demokrasia lakini yenyewe haitaki kuiheshimu hiyo demokrasia.CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi