Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

Bora hata wanyama wasio na demokrasia wanaheshimu utawala waliojiwekea kuliko hii ngozi nyeusi laana tupu!

Haki ya mungu ni bora hata nimuombee shetani kuliko hawa watu!!

Waliosema kwenye "human evolution" kuwa tumetokana na "chimpanzee" nakubaliana nao kabisa ila naona bado hatuja-develop(mentally) kiasi cha kutosha na ndio maana tuko hivi.
 
Jamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!

Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
 
Hii ndio picha halisi sasa ya CCM....kwamba ni chama kisichotaka maendeleo,kama watu waliamua kuchagua chama kingine zaidi ya chama dola kwanini maamuzi yao yasiheshimike?Kuna mtu nimeona mahali anasema maendeleoo huenda sambamba na demokrasia,tunapokimbizana kuleta maendeleo tusiiache nyuma demokrasia na heshima ya "Political Pluralism"...nchi zote zilizoendelea maendeleo na demokrasia vilienda pamoja!Viongozi wanapoonyesha kuheshimu maamuzi ya watu ndio watu wanapozidi kuonyesha imani kwa serikali.Tusifurahie kasi ya maendeleo usiyoendana na demokrasia ya kweli,binadamu ana hulka ya kupenda kukitafuta kile anachokikosa zaidi ya kile anachokipata,ndio maana kuna wanawake wanapewa kila kitu,lakini kama wananyimwa "uhuru" hata wa kuchangamana na jamii ya wanawake wenzao wanageuka "micharuko".JPM uongozi bora ni pamoja na kuheshimu maamuzi ya watu wa Dsm
 
Mkuu wacha kujitoa ufahamu au u Nyumbu ndio unakusumbua.
Unajifanya hujui kuwa hayo Maigizo na Figisu figisu zooote huyo Waziri unayemsema ndio yuko ontop
 
Kuna tatizo gani umeya wa Dar es salaam ukienda Ukawa? Namba hazidanganyi ndugu zangu ukawa wako 87 ccm wako 76 sasa ccm mlisahau nini ofisi za umeya wa Dar es salaam?
 
Hii ndio picha halisi sasa ya CCM....kwamba ni chama kisichotaka maendeleo,kama watu waliamua kuchagua chama kingine zaidi ya chama dola kwanini maamuzi yao yasiheshimike?Kuna mtu nimeona mahali anasema maendeleoo huenda sambamba na demokrasia,tunapokimbizana kuleta maendeleo tusiiache nyuma demokrasia na heshima ya "Political Pluralism"...nchi zote zilizoendelea maendeleo na demokrasia vilienda pamoja!Viongozi wanapoonyesha kuheshimu maamuzi ya watu ndio watu wanapozidi kuonyesha imani kwa serikali.Tusifurahie kasi ya maendeleo usiyoendana na demokrasia ya kweli,binadamu ana hulka ya kupenda kukitafuta kile anachokikosa zaidi ya kile anachokipata,ndio maana kuna wanawake wanapewa kila kitu,lakini kama wananyimwa "uhuru" hata wa kuchangamana na jamii ya wanawake wenzao wanageuka "micharuko".JPM uongozi bora ni pamoja na kuheshimu maamuzi ya watu wa Dsm
bora amani ya moyo kuliko heshima!ccm na magufuli wanaogopa kushindwa kwani umeya ukienda ukawa,ccm watakosa mengi!pesa na pia maovu yao mengi yatakuwa uchi,halafu si unajua ukawa wanavyo jua kupiga domo...makonda na magufuli watakuwa on defensive kutetea madudu ya uda,dart na uchafu mwengine
 
Kuna tatizo gani umeya wa Dar es salaam ukienda Ukawa? Namba hazidanganyi ndugu zangu ukawa wako 87 ccm wako 76 sasa ccm mlisahau nini ofisi za umeya wa Dar es salaam?
walisahau mengi,uda,dart,upangishaji wa wahindi kwa bei ya chini uku wakiongwa mapesa mengi,tenda za uzoaji taka...to infinito!
 
Back
Top Bottom