Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

Jamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!

Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
Sankara hii ishu ya umeya inakukera sana!
 
Nna hasira na hawa ccm, sasa mahakama imeamua vipi, halafu akina bulembo wanaona hi haki, yani mara hii hawa ccm na serikali ni ubabe manake wakifata sheria bado zinawabana, kama ilivyokuwa aliyezuia uchaguzi wa umeya mpaka sasa hajulikani, kila anayeulizwa anarusha mateke imekuwa kama kaa la moto, halishikiki, chawene hajasema lolote anajiuma uma, hao magwiji wa demokrasia akina bulembo kimya wakisubiri rough ndo waje kwa vyombo vya habari, jamani ccm mnatupeleka sipo kuna siku tutachoka, hivi kweli mnaenda misikitini na makanisani kusali, sidhani kama Mungu anapokea sala zenu na udhalimu huu mnaofanyia raia
 
Wataonyeshea wapi wakati mnatumia nguvu kubwa hata kama mmechokwa na wananchi
Ndo maana mnakimbilia mahakamani muongeze wajumbe kutoka znz, kwani znz ni dar, ukawa wekeni na nyie outsiders wenu standby, wakipenyezwa na nyie penyezeni wa kwenu ngoma iwe droo, udhalimu hatuutaki
 
ngozi nyeusi ina shida sana,kuna haja ccm wakaangalia tena kama kuna tija ya kuwa na vyama vingi maana hawapo tayar kuachia ofisi pale wanaposhindwa
Mkuu nadhani hofu waliyonayo CCM ni ikiwa UKAWA watachukua umeya majipu yao waliyojitunga kwa miaka na miaka na madili yao ya mabilioni waliyokuwa wakijineemesha nayo itakuwaje?
 
Mkuu nadhani hofu waliyonayo CCM ni ikiwa UKAWA watachukua umeya majipu yao waliyojitunga kwa miaka na miaka na madili yao ya mabilioni waliyokuwa wakijineemesha nayo itakuwaje?
na anaekwamisha hii kitu ya umeya ni magufuli
 
Ajabu sana umeya wa jiji la Dar! serikali yooooote ipo hapa kila kinachoendelea viongozi wa kiserkali na kichama wanakijua shida ni nini? pesa za jiji? heshima ya jiji? wizi wa mapato yaingiayo kwenye mifuko ya chama? daaaa sipati picha ni demokrasia ya aina gani tunayoitekeleza hapa nchini? au siasa za Uhitler wa ilokuwa ujerumani ya miaka ya vita kuu ya dunia aliyetamani kuitawala dunia yote kwa mkono wa chuma? ndo mfumo ccm wanautumia na kuupenda kuendelea kutawala Tanzania.
 
Nasikia tatizo ni mabus ya mwendo kasi ulikuwa ni mradi wa yule msaafu ambaye kila kukicha yuko ikulu
Pia UDA alimmilikisha mwanae. Hizo fujo zote ndio maanake wakuu
 
Bora hata wanyama wasio na demokrasia wanaheshimu utawala waliojiwekea kuliko hii ngozi nyeusi laana tupu!

Haki ya mungu ni bora hata nimuombee shetani kuliko hawa watu!!

Waliosema kwenye "human evolution" kuwa tumetokana na "chimpanzee" nakubaliana nao kabisa ila naona bado hatuja-develop(mentally) kiasi cha kutosha na ndio maana tuko hivi.

...

....well said !!!
 
na anaekwamisha hii kitu ya umeya ni Magufuli
Miye naona kwa kuwa TAMISEMI kaiweka chini yake, basi atangaze kuwa YEYE ndiye Meya wa Dar. Au kwa madaraka aliyonayo amfanye makonda kuwa pia Meya wa Dar. Nimeona ameshamtuma Makonda na madereva atagaze "Mkakati wa Maendeleo" wa Jiji.
 
Na ilaaniwe CCM, Utawala wao na ufanane na ujenzi wa mnara wa Babeli.
 
Back
Top Bottom