Inawezekana kuna mapato yanaenda kwenye chama chetu kileee!1. UDA itawekwa wazi
2. Mabasi yaendayo kasi itakuwa ishu
3. Mabango watu watafungwa
4. Miradi ya jiji itakula gichwa vya watu
5. Treni ya Mwakyembe itawekwa wazi
6. Viwanja vya wazi jipu kuu
7. Etc
UKAWA ikichukuwa madaraka CCM itapata shida sana na hasa waliojipa viwanja vya wazi