Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

Kumbe wamefanya ufisadi mkubwa namna hii! Watumbuliwe mara moja.
sasa mkuu,mtumbuaji anapokuwa mtumbuliwa we unapata picha gani?ccm wakipoteza umeya maanake ile sifa ya magufuli na serikali kama watumbuaji itahamia ukawa,ambao kwa dar wana majipu mengi ya kutumbua
 
CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
Naona hii ccm ni sawa na kuku hasiye chelewa kusahau
 
Jamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!

Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
Ccm wako tayari kwa lolote ili mradi upinzani usichukue hicho kiti cha umeya wa dsm maana bado wana muhitaji sana jk
 
sasa mkuu,mtumbuaji anapokuwa mtumbuliwa we unapata picha gani?ccm wakipoteza umeya maanake ile sifa ya magufuli na serikali kama watumbuaji itahamia ukawa,ambao kwa dar wana majipu mengi ya kutumbua

Namuamini sana mh.Rais ukiachana na chama chake, lakini akishindwa kutenda haki kwenye umeya wa Dar es salaam imani yangu kwake itapungua sana!
 
bora amani ya moyo kuliko heshima!ccm na magufuli wanaogopa kushindwa kwani umeya ukienda ukawa,ccm watakosa mengi!pesa na pia maovu yao mengi yatakuwa uchi,halafu si unajua ukawa wanavyo jua kupiga domo...makonda na magufuli watakuwa on defensive kutetea madudu ya uda,dart na uchafu mwengine
Je kuna miujiza gani itafanyika ili 76>87 kama figures ambazo mdau kasema ndiyo idadi ya Wajumbe kwa kila upande?
 
Kazi za Meya wa Jiji ni zipi?. mpango mwingine wa kuleta migongano ya kiutawala.
Zamani kidogo nilipita karibu na nyumba moja huko kijijini kwetu nikasikia mtoto mmoja wa kiume akiwalalamikia wazazi wake kuwa wanampendelea ndugu yake wa kike..............Mama yake alimjibu, "wewe ni mtoto kiume, na hizi ni gauni za kike, dada yako kapewa na marafiki zake,"
Kumbe kuna vitu unavitamani lakini ndo mazingira hayaruhusu!!
 
Hili la umeya Dsm, CCM ikubali kushindwa ikajipange upya kwa 2020. Sijui nayo Dar ni Zanzibar, mbona Magufuli haingilii kati?
 
Jamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!

Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
Mkuu nieleweshe wakileta tume hawa madiwani watakua wapi na wanafanya nini sielewi tu
 
Mimi mimi nawashauli viongozi wa ukawa, kama ma CCM yameenda mahakamani, wajitoe wawaachie wenyewe mafisi wale nyama peke yao, hayowanayoyafanya yatakuwa maagizo kutoka IKULU siyo bule
 
Hili la umeya Dsm, CCM ikubali kushindwa ikajipange upya kwa 2020. Sijui nayo Dar ni Zanzibar, mbona Magufuli haingilii kati?
Nashangaa sana magufuli kukaa kimya wakati akijinadi kwamba ni mtoa haki na tuzidi kumuombea.sasavtutamuombeaje mtu ambaye hataki kuwajibika?UKAWA tunaposema hakuna mabadiliko ya kweli ndani ya ccm manyumbu ya lumumba yanakuja juu.
 
Wangekuwa na uhakika wa kushinda meya angeshapatikana. Figisu figisu.
 
Ukawa watashinda umeya, mkishapata umeya....onesheni mfano wa kiungozi ili mumrahisishie EL ashinde kirahisi asubuh na mapema 2020
 
Wananchi ndiyo tuliamua kuwapa ukawa, kwa hiyo wanachokifanya ccm ni sarakasi za kichina
 
CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
This is pathetic, I now believe all Tanzanian need to be rechecked if their mind works reasonablely
 
Kuna tatizo gani umeya wa Dar es salaam ukienda Ukawa? Namba hazidanganyi ndugu zangu ukawa wako 87 ccm wako 76 sasa ccm mlisahau nini ofisi za umeya wa Dar es salaam?
1. UDA itawekwa wazi
2. Mabasi yaendayo kasi itakuwa ishu
3. Mabango watu watafungwa
4. Miradi ya jiji itakula gichwa vya watu
5. Treni ya Mwakyembe itawekwa wazi
6. Viwanja vya wazi jipu kuu
7. Etc

UKAWA ikichukuwa madaraka CCM itapata shida sana na hasa waliojipa viwanja vya wazi
 
Back
Top Bottom