Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,710
Wapi DJ Mubha?...
Ilikuwa ndy redio yetu ya kujiliwaza baada ya msuli enzi hizo pale Tosa boy..
dj mubah alishasepa cjui kaenda redio gan? ila sasa yupo dj nas
Wapi DJ Mubha?...
Ilikuwa ndy redio yetu ya kujiliwaza baada ya msuli enzi hizo pale Tosa boy..
dj mubah alishasepa cjui kaenda redio gan? ila sasa yupo dj nas
Yupo kama sio clouds basi capital mm huwa nachanganya
kiukweli mm hii radio naipenda ila tatizo lao ni moja wanataka kujifananisha na clouds fm wanaiga sana hasa kipindi cha michezo
Kwani kihehe anaongea mda ote au
Kiukweli wanajua sema watangazi wengi wali hama lakini sahiz watakuwa wanatamani kurudi akina bahati alex yupo capital,musa kawambwa cjui yupo redio gani,na wengine lakin Eddo ndo habari ya mjini wanajua hawa
natafuta mawasiliano ya boss wao mkuu...urgently,,please niiinbox ni kwa faida ya radio yake
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.
Hii promo ya hatari, bilashaka aliyeandika huu uzi ni Eddo. Mi niliisikiliza sana hii redio kipindi niko Iringa nasoma Tosamaganga, iko poa sema mwanzoni nilihisi ni branch ya Clouds Fm maana ni copy & paste kuanzia vipindi hadi swaga za watangazaji hehe. Kama now mnasikika Dar na mnaendelea na swaga za kucopy mtachekesha raia, badilikeni aise!
kiukweli mm hii radio naipenda ila tatizo lao ni moja wanataka kujifananisha na clouds fm wanaiga sana hasa kipindi cha michezo
The splash ....
Ukitaka kujua watu wa kucopy na kupest ni radio za mikoani
Kwa MF.uku songea kuna jogoo aisee wanakopy balaa mpka majina an.
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.
TATIZO RADIO ZA MIKOAN WANASHNDWA KUJIPAMBANUA NA KUTOKA KWA STYLE YAO, HAO JAMAA EBONY(jina hili na liona kwenye pony zaid) WAMEKOPY KILA K2 KUTOKA CLOUDS FM KUANZIA VPND VYA ASBH MPAKA USK.. da wametisha sanaa wanachofanya ni kubadil majina ya vpnd tu...hawaumz kichwa kutoka na k2 chao kipya.. KUANZIA PB, LEO TENA, XXL, JAHAZ NA KUENDELEA...