Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Guyz kati ya redio nazo zikubali hapa bongo basi EBONY FM ndo ya kwanza ipo Iringa hii radio inasikika nyanda za juu kusini kote na sasa imefika Dar es salaam a.k.a kumwaaaani (in eddo voice)

Kama upo Dar na bado hujaisikiliza hii redio basi tune 106.9 utakuja niambia ina elimisha na kuburudishaa hadi raha

Mm ni mvivu sana wa kusiki liza redio lakin kuna mtangazaji mmoja wa EBONY FM nampenda kuliko watangazaji wote hapa Tanzania nahisi yeye ndo anaongoza kwa kuchangamsha kuliko mtangazaji yeyote yule wa kituo cha redio nae ana itwa #EDDO BASHIR hasa kipindi chake kinacho anza sa saba hadi sa kumi kila siku jumatatu hadi ijumaa,kipindi chage cha ijumaa kuanzia sa tatu hadi sa saba na zile story zake na ongea yake mm napenda sanaa kubwa zaidi ile top 30 ya jumapili kuanzia sa 11 hadi sa 2 usiku

Kama umewahi msikia na kusikiliza hii redio utakuwa shuhuda wa haya nayo yasema na kama bado we sikiliza kwanza pia unaweza sikiliza online www.ebonyfm.com na vile eddo akiingizia kihehe kile na kingereza chake basi ni rahaaaaa....na zile swag zake na maneno ake sijui huwa anatoa wapi

Kubwa zaidi ni jinsi anavyo wainua ma underground kwenye mziki sijaona mwingine wa kumfananisha na Eddo kwa kuwa saidia wasanii chipukizi hapa Tanzania Wako poa sana Ebony

Basi Eddo utamsikia Dar es salaam kumwaaaaaaani! Ukitaka sherehe yako iwe good mwambie jamaa awe MC duuu ni shigidaaaaaa jamaa yupo talented kiukweliii

Mnao ifahamu shuhudien haya na ambao bado sikilizen mje mshuhudie

Shikamoo Eddo

Shikamoo Ebony Fm
 
Ni kweli mkuu hasa kipindi cha michezo saa tatu usiku, unaweza kuhisi upo clouds kumbe upo ebon.

mara ya mwisho kusikiliza ilikua lin? Ebony kpnd ch michezo kinaanza saa mbil ucku
 
Hahh watu tuache majungu Ebony fm wanajua saana asee

Kiukweli wanajua sema watangazi wengi wali hama lakini sahiz watakuwa wanatamani kurudi akina bahati alex yupo capital,musa kawambwa cjui yupo redio gani,na wengine lakin Eddo ndo habari ya mjini wanajua hawa
 
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.

wanacopy hadi playlist.

Ni kweli mkuu hasa kipindi cha michezo saa tatu usiku, unaweza kuhisi upo clouds kumbe upo ebon.

Tatizo la clouds ni kufuruliza matangazo ya biashara mpk kero. Matangazo mpk 8 consecutively??

Ebony iko juu sana, napenda kipindi cha michepuko magazetini akina Maregesi duh safi mnoo. Na online iko clear hatari hawakatiki kama clouds fm!
 
Kiukweli wanajua sema watangazi wengi wali hama lakini sahiz watakuwa wanatamani kurudi akina bahati alex yupo capital,musa kawambwa cjui yupo redio gani,na wengine lakin Eddo ndo habari ya mjini wanajua hawa

musa kawambwa yupo Efm
 
my favorite redio station
1.Clouds FM
2.East Africa redio
3.Ebony fm
Hizi ndio redio bora tZ
 
Hii promo ya hatari, bilashaka aliyeandika huu uzi ni Eddo. Mi niliisikiliza sana hii redio kipindi niko Iringa nasoma Tosamaganga, iko poa sema mwanzoni nilihisi ni branch ya Clouds Fm maana ni copy & paste kuanzia vipindi hadi swaga za watangazaji hehe. Kama now mnasikika Dar na mnaendelea na swaga za kucopy mtachekesha raia, badilikeni aise!
 
E-FM ndo habar ya mjini,mastaa wote unaowafaham kutoka redio zote wapo E-FM.Sikiliza sport headcorter,uwakute wakina maulid kitende,mussa kawambwa,osca osca.njoo kwenye gurudum yupo swebe santana nunda rais wa waume,manganja mtoto wa kizaramo hajaoa ila anamke.ukija ubaoni utamkuta mtaala garder g habash,set bikira wa kisukuma.then,esport,utawakuta maulid wa kitenge,mussa kawambwa,oscar osca, ibrah masud maestro, omari katanga,yusuph mkule na wengneo.EFM INATISHA
 
Naunga Mkono Hoja.
 
Hii promo ya hatari, bilashaka aliyeandika huu uzi ni Eddo. Mi niliisikiliza sana hii redio kipindi niko Iringa nasoma Tosamaganga, iko poa sema mwanzoni nilihisi ni branch ya Clouds Fm maana ni copy & paste kuanzia vipindi hadi swaga za watangazaji hehe. Kama now mnasikika Dar na mnaendelea na swaga za kucopy mtachekesha raia, badilikeni aise!

Sio Eddo ina namkubali sanaaa sijaona walicho copy
 
Sheria za TCRA si zinakataza redio za kiluga Luga? hawajawasikia hawajama wa ebony fm wanavyochanganya kiluga?
 
ebony ??? mi nimezoea kuliona hili neno kwenye porn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom