Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

kiukweli mm hii radio naipenda ila tatizo lao ni moja wanataka kujifananisha na clouds fm wanaiga sana hasa kipindi cha michezo

Wanadesa mpaka sauti ya Mbwiga
 
The splash ....
Ukitaka kujua watu wa kucopy na kupest ni radio za mikoani
Kwa MF.uku songea kuna jogoo aisee wanakopy balaa mpka majina an.
 
Ni kweli hii radio inacopy kwa sehemu kubwa style ya clouds FM.Kwa wasioifahamu,siku clouds ilipokamata anga za iringa ndo wakatambua hiki nilichoandika.
 
Kiukweli wanajua sema watangazi wengi wali hama lakini sahiz watakuwa wanatamani kurudi akina bahati alex yupo capital,musa kawambwa cjui yupo redio gani,na wengine lakin Eddo ndo habari ya mjini wanajua hawa

Ni redio ambayo naikubali kipindi hicho niko Iringa. Leo nmeitafuta baada ya kuona humu hiyo frequency. Nimeipata nimekumbuka mbali sana. Hii inatajwa kumilikiwa na Mr Mfugale mmiliki wa Pea Cock Hotel

Lakini redio nyingine ambayo iko mkoani na iko vizuri ni Pride FM ya Mtwara. Nayo iko vizuri sana. Kwa waliowahi kufika Mtwara wanaweza kuthibitisha hilo. Ila wao hawajafika Dar bali mwisho Rufiji na Kilwa.
 
Nilikua naickiliza wakat nipo Tosa mwaka 2006 to 2008,nilikua namkubali mwalubadu dah longtym
 
natafuta mawasiliano ya boss wao mkuu...urgently,,please niiinbox ni kwa faida ya radio yake
 
natafuta mawasiliano ya boss wao mkuu...urgently,,please niiinbox ni kwa faida ya radio yake

teh teh teh...huna lolote!,usizuge,sema unataka kuomba deiwaka!
Radio ipo zaidi ya miaka 7,hiyo faida uwe nayo wewe tu,tena 'urgently?'
 
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.

Hii promo ya hatari, bilashaka aliyeandika huu uzi ni Eddo. Mi niliisikiliza sana hii redio kipindi niko Iringa nasoma Tosamaganga, iko poa sema mwanzoni nilihisi ni branch ya Clouds Fm maana ni copy & paste kuanzia vipindi hadi swaga za watangazaji hehe. Kama now mnasikika Dar na mnaendelea na swaga za kucopy mtachekesha raia, badilikeni aise!

kiukweli mm hii radio naipenda ila tatizo lao ni moja wanataka kujifananisha na clouds fm wanaiga sana hasa kipindi cha michezo

The splash ....
Ukitaka kujua watu wa kucopy na kupest ni radio za mikoani
Kwa MF.uku songea kuna jogoo aisee wanakopy balaa mpka majina an.

Sijawahi isikiliza Ebony Fm, ila niliwahi sikiliza hiyo redio inaitwa Jogoo Fm ipo Songea.

Hawa jamaa Jogoo Fm, nahisi mpaka nguo wanazovaa watangazaji wa Clouds na wao huwa wanavaa.
 
Ebony hata mi naisikiliza sana, sawa ina mahadhi ya Clouds lakini kuiga kizuri siyo mbaya. Clouds niliachanaga nao kwa sababu ya kujaza matangazo, yaani muda mwingi mtu unasikiliza matangazo yao ya biashara mfululizo like 8 min kama alivyosema mdau mmoja hapo juu.

Kwa mtu anayependa burudani Ebony ndo mahali pake, naisilizaga sana tu, ila kuna wale wa dada wa asubuhi loh, wanaanza saa tano na nusu hivi, nadhani wa wanawake wenzao wanafurahia sana story zao, manake ni ubuyu kama wa warumi

Nikitakaga ngoma mfululizo nahamia online kwa Bongo radio, hapa ni ngoma tu kwa kwenda mbele siku nzima, day and night, sijawahi sikiliza sauti ya mtangazaji hata mmoja ktk radio hii
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka 2010 nakuja Iringa kikazi nilikua sina jinsi ila kusikiliza Ebony Fm maana ilikua kama nasikiliza tawi la Clouds Fm kwa kweli hawana ubunifu na uyo Eddo ni mpiga kelele tu anabwatuka utafikiria redio inasikilizwa na wahehe tu angalau kidogo Bonny Slay ana taaluma ya habari
 
TATIZO RADIO ZA MIKOAN WANASHNDWA KUJIPAMBANUA NA KUTOKA KWA STYLE YAO, HAO JAMAA EBONY(jina hili na liona kwenye pony zaid) WAMEKOPY KILA K2 KUTOKA CLOUDS FM KUANZIA VPND VYA ASBH MPAKA USK.. da wametisha sanaa wanachofanya ni kubadil majina ya vpnd tu...hawaumz kichwa kutoka na k2 chao kipya.. KUANZIA PB, LEO TENA, XXL, JAHAZ NA KUENDELEA...
 
TATIZO RADIO ZA MIKOAN WANASHNDWA KUJIPAMBANUA NA KUTOKA KWA STYLE YAO, HAO JAMAA EBONY(jina hili na liona kwenye pony zaid) WAMEKOPY KILA K2 KUTOKA CLOUDS FM KUANZIA VPND VYA ASBH MPAKA USK.. da wametisha sanaa wanachofanya ni kubadil majina ya vpnd tu...hawaumz kichwa kutoka na k2 chao kipya.. KUANZIA PB, LEO TENA, XXL, JAHAZ NA KUENDELEA...

Hiyo radio wakati inaanzishwa nilikuwa Iringa, kipindi hicho Salama Jabir anatamba E. A fm hasa Na Ile kitu planet bongo ya jumamosi, hawa ebony fm Si wakawa wanarudia j3 yake kwa mpangilio ule ule wa interview za Salama!. Jioni wana jahazi like la Kibonde Na Gadner, usiku michezo utadhani wamejiunga clouds fm. Wiki mbili Tu za Wao kua hewani zilinitosha kuwachoka jumla. Kumbe Kuna watu Eddo Ni gwiji Lao, daah!, kweli tumetofautiana upeo.
 
Nawakubali kitambo hawa jamaa, kuna dada alikuwa anatangaza kipindi cha lavidav ucku anaitwa Ndenengo Malisa au Nday cjui yuko wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom