Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

Umewahi sikiliza hii redio Ebony Fm

Nlipata kuislkilza kipindi nasoma Iringa miaka hiyo, ilikiwa ebony na country fm, hivo Ndenengo Malisa yupo???
 
Sheria za TCRA si zinakataza redio za kiluga Luga? hawajawasikia hawajama wa ebony fm wanavyochanganya kiluga?

Ni kama redio moja ipo Chugga inaitwa Sunrise........wana vipindi vizuri ila hao watangazaji sasa.........kuna huyo Senga Katoroki........sijui walimtoa wapi........hajui tofauti ya R na L.......anaboa kichizi...........
 
Huwa nabadilisha kituo nikikutana na watangazaji wa namna hii,,, huwa wananikwaza sana kwa kweli
 
Ebony fm nakumbuka nasoma jj mungai high school enz zleeeee... daaah nawaza mbali
 
Heri yenu mnapataga hata muda wa kusikiliza redio hadi kuweza kulinganisha na kukosoa.
Niombeeni nami niwe tajiri.
 
kiukweli mm hii radio naipenda ila tatizo lao ni moja wanataka kujifananisha na clouds fm wanaiga sana hasa kipindi cha michezo
 
HUYO EDO kaz kuongea kilugha radion hana jipya anadhan wote wahehe bwana anaboaa! halaf tatzo wanaiga CLOUDS FM mpaka basi hawanavitu vyao vipya ni ku copy na ku paste tuu! niliisha ACHA kuisikilza inaboa kichz..
 
Sheria za TCRA si zinakataza redio za kiluga Luga? hawajawasikia hawajama wa ebony fm wanavyochanganya kiluga?

yan imejaa uluga luga tu mtangazaj anajichekesha mahal pasipochekesha na kinachoboa zaid ni copy & paste pamoja na kuongea kihehee utazan tanzania nzma n wahehe! wasipobadirka watachekesha mjin hapa!
 
Niliisikiliza sana kipindi nipo Tosa Boy, ilikuwa ni copy & paste ya clouds fm, sijui siku hizi maana ni muda sasa sijaisikiliza.
 
HUYO EDO kaz kuongea kilugha radion hana jipya anadhan wote wahehe bwana anaboaa! halaf tatzo wanaiga CLOUDS FM mpaka basi hawanavitu vyao vipya ni ku copy na ku paste tuu! niliisha ACHA kuisikilza inaboa kichz..

Kwani kihehe anaongea mda ote au
 
yan imejaa uluga luga tu mtangazaj anajichekesha mahal pasipochekesha na kinachoboa zaid ni copy & paste pamoja na kuongea kihehee utazan tanzania nzma n wahehe! wasipobadirka watachekesha mjin hapa!

Mtangazi anapangiwa mahali pa kucheka
 
Maneno ipo Radio Tanzania Dar es Salaam, hasa ule mdundo wa taarifa ya habari
 
Tatizo la clouds ni kufuruliza matangazo ya biashara mpk kero. Matangazo mpk 8 consecutively??

Ebony iko juu sana, napenda kipindi cha michepuko magazetini akina Maregesi duh safi mnoo. Na online iko clear hatari hawakatiki kama clouds fm!

Sasa bila matangazo watakula wap ww?
 
Mi ni mhehe but coz tayari radio imeshakua na inasikika mikoa mingine nje ya Iringa especially Dizm inabid watangazaji waache UHEHE HEHE!

Hii inawakera sana ambao sio wahehe
 
Mi ni mhehe but coz tayari radio imeshakua na inasikika mikoa mingine nje ya Iringa especially Dizm inabid watangazaji waache UHEHE HEHE!

Hii inawakera sana ambao sio wahehe

Yaah kwel kabsa ofcoz hata mie naboreka sana mda mwigne wanaongea kihehe dah naboreka japo n kabila langu
 
Wapi DJ Mubha?...

Ilikuwa ndy redio yetu ya kujiliwaza baada ya msuli enzi hizo pale Tosa boy..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom