Umewahi mwona mke wa Rais mjamzito?

Umewahi mwona mke wa Rais mjamzito?

Yule mke mdogo wa stone aliyehongwa madiamond na maplatnum yote ya kijiji mbona alijifungua??
 
Mbona ya mke wa Raisi wa Manzese ilionekana?
 
Nadhani wanakuwa wamefikia umri wa kutozaa au wameshatosheka na idadi ya watoto walionao
Hili ndilo jibu.
Mwinyi 1985-1995 (uzee)
Mkapa 1995 - 2005 (uzee)
Kikwete 2005 - 2015 (uzee)
Magufuli 2015 -
Kwa kuwa Nyerere alikaa ikulu miaka zaidi ya 21 huenda aliacha uzao pale
 
Back
Top Bottom