Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Kabila kaingia madarakani mwaka 2001 akiwa na umri wa miaka31 nazani hata mke hakuwa nae. Je unataka kumaanisha kuwa na yeye hana watoto ambao wamezaliwa akiwa Ikulu?
Nadhani hata JK Nyerere baba wa taifa kuna watoto amewapata/ wamezaliwa akiwa Ikulu
Nadhani hata JK Nyerere baba wa taifa kuna watoto amewapata/ wamezaliwa akiwa Ikulu
Habarini...
Binafsi tangu nazaliwa, sijawahi kubahatika kusikia mke wa president flani, (iwe Tz au huko ughaibuni), au president mwenyewe (kama president ni mwanamke) ni mjamzito.
Wenzangu kuna aliyepata bahati ya kulishuhudia hili?
Mana mimba ya mke wa president, au president mwenyewe, ingekuwa ni stori hot sana!
Unfortunately, sina ka image ka kusupport swali[emoji17]