Umewahi kuwa dilemma?

Mambo ya mahusiano ni magumu sana, ni ngumu kumwambia mtu kuwa anasalitiwa as reaction yake huijui. Mfano unasikia mtu anasema "nikijua nasalitiwa nitaua mtu" huyo unamwambiaje kwamfano?
Kwakwel n magumu sana Na ndo hapo Sasa
Unaskia mtu akisema hvo huwez kumwambia
Kinacho endelea kwenye mahusiano yake
Unabak tu kumpa moyo unapendwa n.k
Kumbe angejua,,,,,yaliyomo yamo

Ndo maana nasema Bora ucwajue
Mashemej zako Na hata ukiwajua
Ustake urafki Na wao
Pambana Na mwenza wako tu
Wenyewe

Mahusiano ambayo katkat kuna mtu
Yakivunjika wakulaumiwa n alie kat kat

Na,ndo unaona hapo ww ndo unalaumiwa
Na pande zote mbili
 
Aisee hii dunia acha tuu... Kuna siku wakati nasoma chuo flani cha afya kuna ndugu yangu alinipigia simu kuwa ana rafiki yake yupo Hosp flani ana mwanae kapungukiwa Damu na ana hali mbaya sana so anaomba nimsaidie apate mtu wa kumtolea damu kwa gharama yoyote ilee.. Sasa bhna me nikatengeneza tangazo nikapost kwenye Groups za chuo watu wakapatikana lakini nilimwambia yule ndugu yangu hawa watu watahitaji hata hela kidogo ya nauli sasa baada ya kutoa damu aisee yule dada alijikausha kama hakijatokea kitu na me hapo nishawaahidi watu wale kuwa kuna hela watapewaa... Aisee nilijutaaa hata kumsaidia yule dada maana hela yenyewe me pia nilikuwa sina bora ningekuwa nayo ningeitoa kuficha aibu ilee ikabdi niwaambie tu wana amesema atanitumia then ntawapaa aisee mpaka leoo Hajawahi hata kunitumia msg... MFADHILI MBUZIII
 
Kwakwel n magumu sana Na ndo hapo Sasa
Unaskia mtu akisema hvo huwez kumwambia
Kinacho endelea kwenye mahusiano yake
Unabak tu kumpa moyo unapendwa n.k
Kumbe angejua,,,,,yaliyomo yamo

Ndo maana nasema Bora ucwajue
Mashemej zako Na hata ukiwajua
Ustake urafki Na wao
Pambana Na mwenza wako tu
Wenyewe

Mahusiano ambayo katkat kuna mtu
Yakivunjika wakulaumiwa n alie kat kat

Na,ndo unaona hapo ww ndo unalaumiwa
Na pande zote mbili
Uko sahihi mkuu.
 
Aisee hii dunia acha tuu... Kuna siku wakati nasoma chuo flani cha afya kuna ndugu yangu alinipigia simu kuwa ana rafiki yake yupo Hosp flani ana mwanae kapungukiwa Damu na ana hali mbaya sana so anaomba nimsaidie apate mtu wa kumtolea damu kwa gharama yoyote ilee.. Sasa bhna me nikatengeneza tangazo nikapost kwenye Groups za chuo watu wakapatikana lakini nilimwambia yule ndugu yangu hawa watu watahitaji hata hela kidogo ya nauli sasa baada ya kutoa damu aisee yule dada alijikausha kama hakijatokea kitu na me hapo nishawaahidi watu wale kuwa kuna hela watapewaa... Aisee nilijutaaa hata kumsaidia yule dada maana hela yenyewe me pia nilikuwa sina bora ningekuwa nayo ningeitoa kuficha aibu ilee ikabdi niwaambie tu wana amesema atanitumia then ntawapaa aisee mpaka leoo Hajawahi hata kunitumia msg... MFADHILI MBUZIII
Pole sana mkuu, binadamu akiwa na shida anachowaz akwa wakati huo ni kuondokana na shida inayomkabili tu bila kufikiria baada ya hapo. Hivyo hata kutoa ahadi ambayo anajua hawezi iuitekeleza. Thats life ichukulie kama funzo na sadaka.
 
Yaah mkuu shida wana wanaweza kuhisi nilipewa hela nikailaa...
 
Back
Top Bottom