Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

Mahusiano yakishaingiliwa na mtu
Back uwezekano wa kusavaivu kwa
Hayo mahusiano huwa n 20%


Bora uswajue mashemej zako maana
Wanajua kabsa unachezewa lakin
Wanashabikia tu shemelaaa , Shem
Sahizo wanakuchekelea kuwa huna chako hapo
 
Mahusiano yakishaingiliwa na mtu
Back uwezekano wa kusavaivu kwa
Hayo mahusiano huwa n 20%


Bora uswajue mashemej zako maana
Wanajua kabsa unachezewa lakin
Wanashabikia tu shemelaaa , Shem
Sahizo wanakuchekelea kuwa huna chako hapo
Mambo ya mahusiano ni magumu sana, ni ngumu kumwambia mtu kuwa anasalitiwa as reaction yake huijui. Mfano unasikia mtu anasema "nikijua nasalitiwa nitaua mtu" huyo unamwambiaje kwamfano?
 
Back
Top Bottom