Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

Navyojua mie kuna shemeji halafu kuna rafiki na shemeji. Frank ni rafiki yako na shemeji yako!
Ungemwambia tuu kama rafiki, sasa hukumwambia inabidi umuombe msamaha hata kwa kujitetea!

Huyo Lulu sio rahisi tena kuwa rafiki yako akidhani ulimsaliti wakati huo huo anajua fika hakufanya sahihi. Kama ni mwelewa atajirudi akuombe msamaha!
Isikilize busara hii
 
Back
Top Bottom