Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ushagonga mlangoni eeh?
Sakayo mfungulie mkwe wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nawe mpana jamaniii
 
Kutoa lawama kwa third party person ni immaturity, you have to own yo own mistakes. Mie niliwakutanisha, mambo mengine waliyaendeleza wenyewe. Naanzaje kuingia katikati?
Kumbuka wakati nawakutanisha sikuwakutanisha kwa kuwaambia nataka wae wapenzi.
Lakini lawama umezipata hujazipata?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nawe mpana jamaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom