ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,782
- 48,553
- Thread starter
-
- #101
Unadhani kila mtu yupo kwenye hali hiyo?Tafsiri yake ni moja tu, huwezi kuandaa uzee wakati bado unatumia hizi Songesha, Niwezeshe, Bustisha and likes.
Ikifika January ada za watoto ni hekaheka, kwakweli ngumu sana ni kudra za Mungu tu.
Endelea kusubiri babu ๐ ๐Ukiniletea Kiko utaniona nilivyozeeka babu yenu ๐คญ
Nimekula chumvi nyingi babu yenu ๐ค
Kuna sehemu nimesema ni kila mtu?Unadhani kila mtu yupo kwenye hali hiyo?
Weeee kuna wazee wa hovyo ๐ ๐Ukiamkiwa na vijana ndiyo unatamani kujifanya hujasikia kabisa ๐คช
Uzee ni jambo zuri, busara za kutosha kichwani ๐ค
Ooh kumbe haya mkuuKuna sehemu nimesema ni kila mtu?
Nimecheka dah ukizeeka bila hela mchawi ๐ ๐ ๐๐ผNdiyo maana tukipata nafasi ya kuongea na vijana, huwa tunawakumbusha kujiandaa na Uzee
Uzee unamfikia Kila mmoja kwa wakati wake.
Muhimu kujiandaa nao tu.
Ukizeeka bila hela, ndiyo mwanzo wa kuitwa yule Babu mchawi, ama yule Bibi mchawi ๐
SawaUnachekesha ....
Tafsiri yake ni moja tu, huwezi kuandaa uzee wakati bado unatumia hizi Songesha, Niwezeshe, Bustisha and likes.
Ikifika January ada za watoto ni hekaheka, kwakweli ngumu sana ni kudra za Mungu tu.
๐ฅNdio kwanza nimeanzia hapa Z mwanzoni,ngoja niendelee kusogea,
Eeeh๐ณ๐ณ hayaShesRise_1 remind me after 10yrs,I will have something to say.
Ndio nani huko daslamu๐ฅน๐Tayari huko Shalulile.
Wataelewa upo sahihi maa ๐Nikisema hivyo huwa naambiwa nimeanza kulewa.. naamini huko mbeleni watakuja kunielewa
Aiseee hua nashangaa๐ ๐Ni lulu tu ndio umri unasogea wengine wote wamegoma
Ila bi mzuri ๐ ๐ kuanzia 45 kwenda juu hutaki ๐Nimewahi kutamani kuwa mkubwa, Nilikuwa nikiwaona mama zangu wadogo natamani kweli, nadhani walikuwa around 27, baadae nilivyofikisha miaka 27 nikiwaona wadada wa miaka 36 natamani kweli nawaona wazuri wanavaa urembo halafu wamejipata, next nadhani natamani wamama wa miaka 42-45 (naona wameshasettle wana direction nzuri ya maisha) baada ya hapo sina uhakika kama ntatamani umri mwingine ๐๐ญ๐ญ
Na umeitendea kazi ๐ฅ๐ฅWatu walionizunguka wameni-inspire kukua, nilikuwaga najiuliza mtu unakuwa na hela yako kabisa umeitafuta mwenyewe, i was so excited.
Uliwahi kusema kuna sikuKufa ndio kitu sitaki hata kukisikia, niko kwenye denial kubwa na sijui cha kufanya ๐๐
Ukifika 4th floor niambie nikutumie walau cake kukikaribisha maana ni mvi tu, usipoangalia hadi ikulu๐คฃ๐คฃBro sio rahisi oooh sio rahisi ๐
Inavutia sanaKuna mzee wa miaka 77 alisema kuwa yeye haogopi kufa kabisa
Kwani kama ni kufa ameisha kufa zaidi ya x100
Ndugu wengi wamekufa, wazazi wote na Ndugu zao wengi wamekufa, majirani wamekufa, marafiki wameondoka wengi, kwa hiyo siogopi kufa tena
Mimi ni miaka michache nitakuwa umri huo wala sitamani kurudi hata mwaka mmoja
Nashukuru Mungu sijawahi kupata shida na mda wote nilikuwa nakimbiza maisha na pia kutembea nchi nyingi na ni kumbukumbu zinazonifanya nizidi kupiga trainers ๐ na jeans yaani young at heart
Tuombe Mungu tuwe na afya njema ila maisha hayatabiriki
Forever young ๐ฅน๐๐
ShukranMkuu heshima Yako. Kwa mara nyingine tena umekuja na maada mujarabu.
Ulianza kuzeeka una 20 ๐ ๐ chaiBinafsi sipendi kuzeeka, ila Mungu ni mtaalam sana hakupi unachotaka๐๐๐,
Bad thing nilianza kuzeeka at my 20. Good thing ni kwamba am still looking as if am in my 20's.
โYeeessssssNdio, natamani nibaki kijana na wazazi wangu wabaki vijana na wote ninaowapenda wabaki vijana.
Naunga mkono hoja kasoro hapo kwenye miaka 100 hapanaMoja ya kitu nimeshakikubali ni kwamba nitazeeka ila sitamani kuzeeka nikiwa dhaifu, kwa mapenzi ya Mungu natamani nifikishe miaka hata mia moja.
Hongera sanaMiaka 30, katika umri huo nimejifunza mengi sana nimeweza kutazama maisha katika nyanja tofauti.
Eeeh aiseeeKwakweli Huwa sijiangalii kwenye kioo, maana nipo kama Wassira๐๐๐. Kuna namna inabidi nifanye ili niwe nanyoa kiduku๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu paka mafuta banaNafanya Jogging au long walk alone, sipakai mafuta yoyote.
Nzuriiiii hii nyama ๐ฅNafunga kula siku 2 kwa wiki na msosi wangu mkubwa ni nyama, nakula kilo nzima pekeeangu๐๐๐๐ na nakula mara Moja au mbili kwa siku.
Karibu mkuu ๐๐๐Siogopi kuzeeka ila napenda hizi moment za maisha ziendelee, Napenda sana kuwaona watu wangu wa karibu wakiwa vijana.
Siipendi tuu aging
Ndio, ningechagua kubaki kijana milele.
Always we're here. Thank you kwa maada nzuri kabisa.
Mimi hapanaaaaaaNinavyopenda uzee, vijana wangu nikiwaambia waniite mama wananigomea wananiita sister namind kinoma..!! ๐น
Hapa wewe ni twin sivutiwi na vijana kabisa watu wenye umri walau 35 kwenda juu zaidi zaidi 40_45Mi uzee naupenda na sasa hivi natamani kudate mzee ila sio age ya baba yangu..!
Wale wazee wa 45yrs ndo target yangu..!!
Kwani kutamani ni dhambi au mimi ndio sijui?Hii sasa ndio tamaa
Unataka kuishi usife wengine waishi wapi?
Lazima tufe ili another generation wazaliwe
Kufa kila mtu atakufa hakuna ambae anapinga hiliHiyo young forever ni ubatili lazima ufe ili wengine wazaliwe