Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

zko kwenye computer
Ok sawa haina shida, zipo salama kabisa.
Kwanza ukizingatia unatumia OS ambayo ipo very updated, ina user mwenye password ya ukweli, umeziweka kwenye secure folder na umeencrypt kwa kupitia RSA, AES na makorokoro mengine.

Yani kwa ufupi upo salama, hutakujawahi pishana nazo sehemu yoyote ile hapa mtandaoni na uraiani
 
Dah,haya mambo bwana,juzo tu nimeona picha ya uchi ya mdada anahsshima zake tu anafanya kazi sehem nzuri tu ya umma,sijui alikuwa anamtumia mumewe maskini akajikuta ameweka ktk status,akawah kuitoa ila sisi wazee wa whtsapp GB akawa kashachelewa,mzigo tupo nao tu ......,picha ya papuch saaaafi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom