Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

Endeleeni kupiga hizo picha kwa saaaana tu,vijana wanazi-save kwny simu ni mwendo wa kuzipigia puli tu.
 
Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi.

Nishawah kukutana na wanaume wanaomba picha km hzo sijui wanazitumia kwa nn 🤔 au wanaume wengine ktk relatioship wanataka kupiga pcha za uchi pamoja.

Mimi sijawah kuwa na wanaume wa ajabu km hao. Hivi mtu unaanza je kutuma picha za uchi au unaanza je kupga pcha hizo na mwanaume yoyote tu km sio ujinga tuite nn? Wewe umewah kutuma pcha za uchi kwa mtu yoyote?
Kupiga tu na kuwa nayo regardless umezituma au la ni very risky ndugu huwezi jua nini kitatokea
Kuna siku utavaa chupi kichwani hutaamini.
 
Back
Top Bottom