Muulize
Nisaidie kumuuliza halafu unipe jibuMuulize
Hata siwezi kujadili hii mada.
Nimepita tu
Ni dalili ya kutojikubaliNaona anaipiga kisha anaicheck jinsi ilivyo
Tutaamini vipi kwamba huwa unapiga hizo picha?
Weka picha moja tuamini.
Tumekuelewa, nimekuelewa.
Cha kumsaidia mleta mada msaidieni jinsi ya kusafisha simu na kudelete kabisa hayo mapicha.
Kuwmna wataalamu wa kurudisha. Ww unajua umefuta kumbe wenzio wakishila simu wanarudisha.
Pole sanaShida inakuja pale simu inapozingua na una picha mbovu kwenye gallery.
Sasa ukienda kwa mafundi ndipo utamu unapomwagika.
Niliwahi kumiliki Tecno kipindi fulani ikaleta ukorofi wakati nina files korofi kwenye gallery.
Kutoka pale nilijifunza jinsi ya kusevu private files kwenye google drive.
Pole sana
Hahaha, nilijifunza.
Kuna files huwa ni very private, hazitakiwi kuwa kwenye gallery.
Ila tabia ya kupiga nude pics huwa haitakiwi kabisa kabisa.
Maana hizo picha hazitunziki, kuna siku zitatoka nje.
👂👂👂👂
It goes with age.
Akikua au kikitokea cha kutokea ataacha.
Tutaamini vipi kwamba huwa unapiga hizo picha?
Weka picha moja tuamini.
😋 unaonekana tu maana hata muandiko wako ni mtamu