Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,108
- 72,557
Kupiga picha za uchi ni kujishusha thamani, inshort ni ujinga jinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mvua ya leo?
Yeah, ujana ni ku experiment a lot..experience a lot..learn a lot... hoping not to fall in wrong hands/places in the process...
Naona uvumilivu umekushinda umeamua uchangie...[emoji3]Lilianza jua kali mpaka likanipa wazimu kumbe yenyewe inashuka.
Ni kuwa mpole tu
Wewe muongo sana,huwa hujipigi picha za uchi wala nini,Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi.
Nishawah kukutana na wanaume wanaomba picha km hzo sijui wanazitumia kwa nn [emoji848] au wanaume wengine ktk relatioship wanataka kupiga pcha za uchi pamoja.
Mimi sijawah kuwa na wanaume wa ajabu km hao. Hivi mtu unaanza je kutuma picha za uchi au unaanza je kupga pcha hizo na mwanaume yoyote tu km sio ujinga tuite nn? Wewe umewah kutuma pcha za uchi kwa mtu yoyote?
Umarufu unamwita.Ataungana na kina amba rutiNaona anaipiga kisha anaicheck jinsi ilivyo
Kumbe wewe ni mwanamke.Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi.
Nishawah kukutana na wanaume wanaomba picha km hzo sijui wanazitumia kwa nn [emoji848] au wanaume wengine ktk relatioship wanataka kupiga pcha za uchi pamoja.
Mimi sijawah kuwa na wanaume wa ajabu km hao. Hivi mtu unaanza je kutuma picha za uchi au unaanza je kupga pcha hizo na mwanaume yoyote tu km sio ujinga tuite nn? Wewe umewah kutuma pcha za uchi kwa mtu yoyote?
Ndivo tulivyo Mkuu.kupitia huu uzi ndo utawajua wa tz walivo wanafiki, wanampopoa mtoa mada utadhan hawapigi na kuzituma
Umesrma kweli [emoji23][emoji23]Uzi huu wengi watauponda ,wake kwa waume.
Ila ukweli nikua Simu zao , kuna mafaili wameyaficha, sababu yana picha cha Utupu, walotuma au kutumiwa toka/kwenda kwa Wapenzi wao.
Sasa.mtoa mada yeye kaishia kupiga.... Ila wengi, mnapiga na kutumiana.
Huku wanaume wakiongoza ktk hitaji la "Nitumie nione"
Hapa mnajivunga hahahhaahhahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa najipiga najiangalia nilivo tuKama unajipiga picha za uchi,Aisee wewe ni wa ajabu.Nini lengo lako kujipiga picha za uchi?
Unachokitaka utakipa...!
Sent using Jamii Forums mobile app