Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

Umewahi kupiga picha za utupu (nude pics)?

We ni wa hovyo unajipiga picha za uchi alafu iweje yaani km ni me utakuwa na tabia za kike maana watoto wa kike ndo hufanya hivyo kujibinua makalio kuonyesha mapaja na vifua shame on u
 
Uzi huu wengi watauponda ,wake kwa waume.


Ila ukweli nikua Simu zao , kuna mafaili wameyaficha, sababu yana picha cha Utupu, walotuma au kutumiwa toka/kwenda kwa Wapenzi wao.






Sasa.mtoa mada yeye kaishia kupiga.... Ila wengi, mnapiga na kutumiana.


Huku wanaume wakiongoza ktk hitaji la "Nitumie nione"



Hapa mnajivunga hahahhaahhahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanafiki sna wanaact km hawajawah kupiga au kutuma
 
Umewah kupga picha za uchi halafu ukamtumia mtu? Mimi najipiga sna picha za hv lakin sijawah kutuma kwa mtu hta sku moja na sidhan km itakuja kutokea kumtumia mtu picha za uchi.

Nishawah kukutana na wanaume wanaomba picha km hzo sijui wanazitumia kwa nn 🤔 au wanaume wengine ktk relatioship wanataka kupiga pcha za uchi pamoja.

Mimi sijawah kuwa na wanaume wa ajabu km hao. Hivi mtu unaanza je kutuma picha za uchi au unaanza je kupga pcha hizo na mwanaume yoyote tu km sio ujinga tuite nn? Wewe umewah kutuma pcha za uchi kwa mtu yoyote?
Mungu anisamehe sana mimi. Enzi hizo nilikuwa nawaomba mabinti wajirekodi wanitumie, wakiniomba mimi nadownload natuma. Ila kamwe sikuwahi kukaa nazo nilikuwa nazifuta. Sasa nimekua mtu mzima, hata siwezi kuthubutu tena.

Kama nataka kuiona si ninamwambia twende lodge na tukimaliza picha inabaki kichwani. Wadada hawajifunzi wengi wao. Hizo picha huishia kuwadhalilisha wao na sio wanaume.
 
Back
Top Bottom