Nikweli ni ndogoUjazo mdogo. 200ML tu
Wanafikiri kutengeneza huo ni kama kuunda bomu inahitaji wataalamu wa hali ya juu. Kumbe kozo fupi Sido inatoshaNa kilimo cha zabibu kimeongezeka, nadhani wadau wanakasumba ya bei kubwa.
Nikweli kabisa unachosema ndio mana nasema bei muda mwingine haithamishi ubora, ni kama kwenye magari, gari ina km laki 2, utalipia million 7 ila zikishushwa mpaka laki moja unalipishwa million 10 hivyo ni namna unavyopokelewa.Wanafikiri kutengeneza huo ni kama kuunda bomu inahitaji wataalamu wa hali ya juu. Kumbe kozo fupi Sido inatosha
Na pia kuna ukosefu wa elimu juu ya fake/counterfeit na low quality products wengi wanachanganya sana haya mawili,Wala sio fake
Dom kwa mvinyo ndiyo kwenyewe.Natambua kupata kiwango hicho kwenye mvinyo sio mchezo, hizo fortified zipo Mingi akina dompo n etc, mada yangu imejikita kwenye bei, kwasababu tunatambua upangaji wa bei za wine mara nyingi zipo juu, hivyo msinifikirie vibaya ndugu wadau, nimeshangazwa tu na bei.
Swala la ubora na viwango ni jambo lingine.
Asande.
Samahani,, piga vizuri hiyo chupa kuza maandishi nipate contact nimeona fursa hapo