Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,600
- 6,747
Kwenye sticker tbs ipo hivyo kama tbs wanatupiga mimi nawewe hatujui, hapo sina la kusema.Cheep is expensive... ndiyo maana ugonjwa wa Figo unateketeza vijana ... nchi haina TBS wachina na wajasiriamali ni kujitengenezea tu bwerere
halafu jamaa katoa meno yote 32 nje anachekelea kupata kilevi chenye 14 percents Kwa buku tu anaona amesave hela kawa mjanja kumbe anakunywa sumu tu kama za VisunguraUnakunywa fekero jombaa.
Hiyo 14% inaweza kuwa fortified wine.
Yaani washakuchanganyia na spirit za bei rahisi hizi maarufu visungura.
Natambua kupata kiwango hicho kwenye mvinyo sio mchezo, hizo fortified zipo Mingi akina dompo n etc, mada yangu imejikita kwenye bei, kwasababu tunatambua upangaji wa bei za wine mara nyingi zipo juu, hivyo msinifikirie vibaya ndugu wadau, nimeshangazwa tu na bei.Unakunywa fekero jombaa.
Hiyo 14% inaweza kuwa fortified wine.
Yaani washakuchanganyia na spirit za bei rahisi hizi maarufu visungura.
Hatari Danger !! TwafaaCheep is expensive... ndiyo maana ugonjwa wa Figo unateketeza vijana ... nchi haina TBS wachina na wajasiriamali ni kujitengenezea tu bwerere
Hapana mkuu sijachekelea urahisi bali nimeshangazwa na sijawahi kuona wala kuwaza mkuu kwamba nitakuta wine imekua packaged na sticker zote kwa bei hiyo.halafu jamaa katoa meno yote 32 nje anachekelea kupata kilevi chenye 14 percents Kwa buku tu anaona amesave hela kawa mjanja kumbe anakunywa sumu tu kama za Visungura
hizo ni kama zile sumu za panya unazosikia zinatangazwa mtaani. Hakuna wine hapoHapana mkuu sijachekelea urahisi bali nimeshangazwa na sijawahi kuona wala kuwaza mkuu kwamba nitakuta wine imekua packaged na sticker zote kwa bei hiyo.
Nazifahamu wine vizuri na nimetumia aina nyingi za bei tofauti, ndio mana nimeshangaa hii bei.
Asande
Tunalima Zabibu huku!Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili.
Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza.
View attachment 3653464
Ujazo - 200ml
Abv 14%
Ndo hiyo bei yake 1000?Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili.
Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza.
View attachment 3653464
Ujazo - 200ml
Abv 14%
Zipo hata za kienyejiNatambua kupata kiwango hicho kwenye mvinyo sio mchezo, hizo fortified zipo Mingi akina dompo n etc, mada yangu imejikita kwenye bei, kwasababu tunatambua upangaji wa bei za wine mara nyingi zipo juu, hivyo msinifikirie vibaya ndugu wadau, nimeshangazwa tu na bei.
Swala la ubora na viwango ni jambo lingine.
Asande.
Ndio kamanda 1000Ndo hiyo bei yake 1000?
Kwanini tuna mentality ya vitu vya ghali ndio bora, wakati dodoma zabibu ni nyingi kuliko viwanda vya kusindika hiyo bidhaa??hizo ni kama zile sumu za panya unazosikia zinatangazwa mtaani. Hakuna wine hapo
Na kilimo cha zabibu kimeongezeka, nadhani wadau wanakasumba ya bei kubwa.Mvinyo wa zabibu na zabibu wanalima kule, mafunzo ya kutengeneza huo mvinyo wanayapatia Sido na hata ghsrama ya mafunzo si kubwa sidhani hata laki kama inafika
Usishangae kuona hivyo na si fake mara nyingi ni ya zabibu original. Wajasiriamali wamefunzwa namna ya kutengeneza na namna ya kufunga na vifungashio hivyo
SIDO imesaidia wengi kuwafunza ujasiriamalj
Mimi ni under 48 mkuuKunywa kistaarabu, hairuhusiwi under 18.
Cheep is expensive... ndiyo maana ugonjwa wa Figo unateketeza vijana ... nchi haina TBS wachina na wajasiriamali ni kujitengenezea tu bwerere
Hapana mkuu sijachekelea urahisi bali nimeshangazwa na sijawahi kuona wala kuwaza mkuu kwamba nitakuta wine imekua packaged na sticker zote kwa bei hiyo.
Nazifahamu wine vizuri na nimetumia aina nyingi za bei tofauti, ndio mana nimeshangaa hii bei.
Asande
Ujazo mdogo. 200ML tuUnakunywa fekero jombaa.
Hiyo 14% inaweza kuwa fortified wine.
Yaani washakuchanganyia na spirit za bei rahisi hizi maarufu visungura.