Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Akufume mara moja tu ndo atake kukuacha mazima?..

Hii story lazma kuna sehemu tumepangwa.

Ngoja tusubiri kusikia upande wa pili.
 
Mwanamke hata umpe nn hariziki,niliishi na mke wangu kwa upendo Sana na sikuwahi kucheat hata cku moja ila nilikuja kuelewa kwamba sio mwanifu kwangu nikaona isiwe tabu.tuliachana km masihara vile maana nilipata maumivu makali sana nikaona nikiendelea kuishi nae kuna siku nitafanya mambo mabaya Sana hadi jamii ingenishangaa.
Kutomb*wa kunauma aise!
 
Wala hamna kigumu hapo...mke kama kitombwer kasha tombwer wewe una options mbili tuu.
Mosi mkae mkubali kuwa ilishatokea basi mke aendelee kukupa mbususu au pili fukuza mbwa hiyo lete pisi nyingine uishi kwa amani.
Sasa wee unaishi na mtu huku unamuwazia mabaya sii kujinyima raha ya maisha. Trust broken can never be rebuilt
Kama kaweza kufanya mara moja, atarudia mara mbili, tatu, nne
 
Kula chuma hicho.




Kiufupi Hapo Things will never be the same again. Yaani Watu wamesema huko Juu umeyakanyaga.

Hii Inanikumbusha kisa kimoja kinachoendana na Chako. Hii ilimpata Mwanaume ila Tukahisi na kuhitimisha kwa upande wa mwanamke ilikua kama Ulivyosema hapo juu. Huenda ni wewe.


Kuna Mwamba Mmoja alikua Muaminifu sana kwa mke wake. Akitoka Kazini ni Straight home, Hana makandokando yaqni Vijana wa mjini wanasema Mwamba hakua na mbambamba. Kama ikimbidi juwa nje ni kwa sababu Maalumu sana Labda anaangalia mpira na jamaa zake na Ikifika saa 12 jioni hata kama Mpira haujaisha atawatotoka kurudi nyumbani kwa mkewe.

Huyo mkewe alikua akifanya Kazi sehemu ya mbali na walipokua wakiishi hivyo alikua anakuka siku za Wikendi tu ama akiwa na Likizo.

Maisha yakaenda hivyo miaka na miaka. Mwamba alikua anashangaa sana wanaume wenzake wanawezaje kuchepuka na bado wakarudi nyumbani kwa wake zao as if nothing happened! Mwamba akageuka mtoa Nasaha kama Mama Terry kwamba Wanaume tuwapende wake zetu, unachokitafuta nje ndani umekiacha, nje unachepuka kwa mashaka na unafuja pesa, ukirudi nyumbani Unakula halafu unamla na mpishi pia kwa raha zako. Akaenda mbali na kusema hakuna siku atakayomsaliti mkewe. Wanaume tukawa tunaitikia Tawire baba.

Ikatokea siku tupo mtaani stori mbili tatu mara akapita dada mmoja wa haja kiasi cha Kugeuza macho ya wanaume wote wenye minara imara. Mwamba isivyotegemewa akaenda kuomba namba na mengineyo.

Fast Forward, walianzisha mahusiano na ikawa ni Utaratibu kila wikendi lazima wakutane sehemu kulila lile tunda tamutamu.

Kamati Ikakaa kujadili, What happened to Mwamba?? It's Unlikely of him to behave in such a manner. He, who used to condemn adultery and sorts of uchepukaji ameenda kuwa niaje?? No way kuna kitu hakipo sawa sehemu.

Ikawa Miezi ya Uchepukaji, Kiutani utani mwaka ukafika mara miaka. Muda wote huo Kamati inahoji WHY Mwamba awe hivi! What went Wrong?! Mwamba akiulizwa anajibu Haya maisha ni yake na sisi tushughulike na yetu. Zaidi ya Yote We only Live Once, wacha avinje mifupa wakati meno bado iko.

Siku Tunashtukia mke wa Mwamba yupo tu nyumbani. Kumbe tangu Mwamba ameanza michakato yake ya Uchepukaji kama miezi miwili mbele mke aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha. Mke alikua mtumishi wa serikali. Na walikua na mtoto tayari.

Tangu wakati huo mke ni mama wa nyumbani na Mwamba akiulizwa hana majibu yanayoeleweka, Sasa anakaa nje (mwamba) mpaka usiku na wala hajali tena kuwahi kurudi nyumbani. Mwamba amekua team mla kiMasikhara. Anachakata mbususu mno.


Inaonesha kuwa Mwamba alipigwa na Kitu kizito ambapo mke aliliwa huko mazingira ya kazini na Mwamba akajua. Ili Kuinusuru Ndoa mke akaamua kuacha Kazi. Na Mwamba mpaka Leo hii hajarudi kuwa kama zamani. Uchakataji wake ni wa kasi sana anawashinda mpaka wale aliokuwa anawapa mawaidha.
Umeandika nini hiki?
 
Ndiyo maana nawashangaa wanawake mnaoingia kwenye ndoa. Unawezaje kulala na mtu mmoja tu muda wote??

Kuwa huru, ishi huru, ishi peke yako ili uchague nani wa kulala naye, ubadilishe ladha na aina ya ddyudyu.

Ushauri wangu kwako. Badilisha staili ya kungonoka, anza kumpa tigo, fanya BJ na uwe unameza shahawa zake, mbuzi kagoma kwenda kwa sana na badilisha miguno. Utanishukuru.
Auze furaha yake kwa jitu bandidu kiasi hichi....yaani jitu limeshindwa msamehe limempeleka hadi kanisani na kwa wazazi eti nimechapiwa linaelezea watu na kumfedhesha dada wa watu ndiyo maana mwanamke anayejielewa yaani modern woman kwenye hili lazima atamove on kimya kimya bila msamaha.

Wadada wakibongo nilisha sema mwanaume ukiwa na pesa wanajizima data na kuuza furaha zao, what a nonesense. Nilishaandika uzi juu ya wadada hasa wabongo kuwa mwanaume ukiwa nazo anakuona wewe ndiyo cake, please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.

Natamani wise lady asome hapa ataelewa point kubwa niliyo andika hii ni kubalance gender at high degree.....yeye men akikosa vinaishia chumbani na kanisani havifiki ila kakosa mwanamke wa kiafrika yaani mpaka mtaa na mkoa na nchi vinajua. What a holeshit!....

Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.

The right apologize to her is to go and move on akijua kwako wewe mwanaume amesha haribu kwa kukosa na hawezi kuuza furaha yake kwako wewe mwanaume au kukuomba msamaha ambao ni useless help na kuzalilishana makanisani.

Mademu wa kizungu hawataki jam zaidi ya kuadmit mistake na kumove on.....

Huyu dada miaka mitatu na nusu kashindwa kumove on mpaka jamaa anampeleka kanisani na kumuitia wazazi na mwisho wa siku dada anaacha kazi ya mshahara wa laki 5.5.....yaani ingekuwa dada zangu wakichagga wasingefanya huu upuuzi....yaani huyo mwanaume ana nini cha maana sasa mpaka awe ruba kwako na kukuharibia maisha haya mafupi. Labda awe anakojoa dhahabu. Jifunze kumove on dada japo ashakuharibia.
 
Yaan hapa ndio unaharibu wewe kumbe ndio michezo yenu au sio yaan mnaenda kutombwa alafu mnatengeneza red handed zenu ili iwe ngoma draw kwanini lakini mnafanya hivi ? Mnapenda kutombwa ovyo Malaya nyinyi mnapenda kutombwa wakati mmeshaolewa tulieni na ndoa zenu Malaya nyinyi mwingine wamemtoa macho huko Arusha sababu ya kupenda kutombwa ovyo jinga sana
Mkuu tuliza kichwa kabla ya kukoment,Mimi ni Mme na nimempa ushauri wa kusaidia ili kuituliza ndoa yake kwani inavyoonekana hayupo tayari kuivunja. Hakuna mkamilifu Dunia hii hata wewe hapo una Yako watu wanakuvumilia tu
 
Yaan hapa ndio unaharibu wewe kumbe ndio michezo yenu au sio yaan mnaenda kutombwa alafu mnatengeneza red handed zenu ili iwe ngoma draw kwanini lakini mnafanya hivi ? Mnapenda kutombwa ovyo Malaya nyinyi mnapenda kutombwa wakati mmeshaolewa tulieni na ndoa zenu Malaya nyinyi mwingine wamemtoa macho huko Arusha sababu ya kupenda kutombwa ovyo jinga sana
Tulia mkuu, kunywa maji kikolo 🤠🤠, hasira yako ni kubwa mno
 
Tulia mkuu, kunywa maji kikolo 🤠🤠, hasira yako ni kubwa mno
Ameniudhi sana nafikiria Mimi ingekuaje ningekua ni huyo mumewe yaan daah ukishaolewa mwanamke acha umalaya ushazaa watoto watatu acha umalaya usiende nyumbani kwa mwanaume ambae hajaoa ukiwa peke yako hapo ni sawa ukajipeleka ghetto kwa mhuni lazima utombwe utake usitake atakutomba tu maana umeenda ghetto na unajua yeye hajaoa unategemea nini km sio kutombwa, wanawake ukiolewa mwanaume ukimjua ni bachelor mhuni usiende ghetto kwake peke yako au km huna escort mwambie mkutane sehemu public muongee sio unaenda kutombwa alafu unakuja kujiliza hapa wakati mwenyewe ulijua unaenda kutombwa
 
Mkuu tuliza kichwa kabla ya kukoment,Mimi ni Mme na nimempa ushauri wa kusaidia ili kuituliza ndoa yake kwani inavyoonekana hayupo tayari kuivunja. Hakuna mkamilifu Dunia hii hata wewe hapo una Yako watu wanakuvumilia tu
Mkuu najua Mimi ndio sijakamilika Ila isiwe sababu ya Mimi kutomwambia ukweli mleta mada kwamba aache umalaya asimwekee mitego yoyote mwanaume wake amuache aendelee kutafakari maana upweke alionao sio wa dunia hii
 
Nakuelewa kuwa ulipitia kipindi kigumu sana na unaumizwa na hali ya ndoa yako. Ni muhimu kutambua kuwa hali hii imekuathiri kwa muda mrefu na inaonekana unapenda sana mume wako na unatamani kurudisha uhusiano wenu wa awali. Hapa kuna ushauri wa jumla ambao unaweza kuzingatia:

1. Mawasiliano: Ni muhimu kuwa na mazungumzo ya wazi na mume wako. Eleza jinsi unavyojisikia na jinsi unavyojisikitisha kuhusu tukio lililotokea. Eleza kwa kina jinsi unavyompenda na jinsi ulivyokosea. Toa mwanya wa mazungumzo na sikiliza pia hisia na maoni yake.

2. Uaminifu na uwazi: Onyesha uaminifu wako kwa mume wako na uhakikishe kuwa hali kama hiyo haitajirudia. Kuwa wazi juu ya hisia zako na tamaa yako ya kurekebisha uhusiano wenu. Weka mipaka na hakikisha kuwa unatekeleza ahadi zako.

3. Usikivu na kuelewa: Jitahidi kusikiliza na kuelewa hisia za mume wako. Anaweza kuwa ameumizwa sana na kuvunjika kwa uaminifu na inaweza kuchukua muda kwake kupona. Kuwa na subira na muonyeshe kuwa unathamini hisia na maumivu yake.

4. Kujenga upya imani: Kurejesha imani katika uhusiano wenu itahitaji muda na juhudi za pamoja. Weka mkazo katika vitendo vyenye uaminifu na uwazi. Tengenezeni muda wa kukaa pamoja na kufanya mambo mnapofurahia na kukuza upya uhusiano wenu.

5. Msaada wa kitaalam: Ikiwa unahisi kuwa nyinyi wawili mnahitaji msaada wa ziada, fikiria kumwona mshauri wa ndoa au mtaalamu wa saikolojia. Wataweza kuwasaidia kufanya kazi kupitia changamoto zenu na kutoa mwongozo unaofaa kulingana na hali yenu maalum.

6. Subira na uvumilivu: Kurejesha uhusiano wa awali baada ya kuvunjika kwa uaminifu ni mchakato mgumu na unachukua muda. Kuwa tayari kuvumilia changamoto zinazoweza kutokea na kuwa na subira katika safari yenu ya kujenga upya imani na upendo.

Ni muhimu kukumbuka kuwa kila uhusiano ni tofauti, na hakuna suluhisho moja sahihi ambalo litafanya kazi kwa kila mtu. Ni jukumu lako na la mume wako kufanya maamuzi yanayofaa kulingana na hali yenu na kujitahidi kuimarisha uhusiano wenu.
 
Auze furaha yake kwa jitu bandidu kiasi hichi....yaani jitu limeshindwa msamehe limempeleka hadi kanisani na kwa wazazi eti nimechapiwa linaelezea watu na kumfedhesha dada wa watu ndiyo maana mwanamke anayejielewa yaani modern woman kwenye hili lazima atamove on kimya kimya bila msamaha.

Wadada wakibongo nilisha sema mwanaume ukiwa na pesa wanajizima data na kuuza furaha zao, what a nonesense. Nilishaandika uzi juu ya wadada hasa wabongo kuwa mwanaume ukiwa nazo anakuona wewe ndiyo cake, please ladies jifunzeni kumove on nakuwa independent kwenye life lenu.

Natamani wise lady asome hapa ataelewa point kubwa niliyo andika hii ni kubalance gender at high degree.....yeye men akikosa vinaishia chumbani na kanisani havifiki ila kakosa mwanamke wa kiafrika yaani mpaka mtaa na mkoa na nchi vinajua. What a holeshit!....

Mzungu mwanamke akikucheat wewe mwanaume ukajua, huwa huyo mwanamke hana mambo mengi anachukua begi zake na kila kilicho chake anaondoka kwako wewe mwanaume anakuacha upambane na life lako.

The right apologize to her is to go and move on akijua kwako wewe mwanaume amesha haribu kwa kukosa na hawezi kuuza furaha yake kwako wewe mwanaume au kukuomba msamaha ambao ni useless help na kuzalilishana makanisani.

Mademu wa kizungu hawataki jam zaidi ya kuadmit mistake na kumove on.....

Huyu dada miaka mitatu na nusu kashindwa kumove on mpaka jamaa anampeleka kanisani na kumuitia wazazi na mwisho wa siku dada anaacha kazi ya mshahara wa laki 5.5.....yaani ingekuwa dada zangu wakichagga wasingefanya huu upuuzi....yaani huyo mwanaume ana nini cha maana sasa mpaka awe ruba kwako na kukuharibia maisha haya mafupi. Labda awe anakojoa dhahabu. Jifunze kumove on dada japo ashakuharibia.
Alokwambia kuwa mabaya ya mwanaume yanaishia chumbani ni Nan? Unaposema huyo mwanamke aondoke na asimsamehe mwanaume kwani hapo Nan kakosea mwenzako? And by the way,huwezi ku balance gender,hata uende mbinguni Never! Nilichogundua kwako ni kwamba,ww inaonekana umeishatendwa sana,au huna mwenza na hata kama utampta utaishia kuwa single mama aka Cha wote!
 
Mademu bwana. Yaani mwanamke akishakuwa anajibishana na mwanaume jua tayari ameshamuelewa na wanaelekea kupeana utamu mwanaume akikaza.

Sasa ulipokuwa unaenda kwa jamaa ulijua kabisa kuwa unakwenda kutombwa ila ni swala la muda tu ukifika pale.

Jamaa anakuchezea hadi unaloana ina maana tayari ulishakuwa na hisia nae ndio maana unaenjoy yeye kukupa game.

Halafu unatombwa tokea saa tisa hadi saa mbili ina maana muda wote huu ulikuwa unafurahia huwezi fanya mapenzi na mtu kwa masaa kama haufurahii.

Ina maana kuna muda ulikuwa unaikatikia na unapata utamu wake. Inachomoka unairudishia mwenyewe kwa kuichomeka. Unatoa milio ya utamu, unamtazama jamaa usoni, unamkiss shingoni, unamlamba, unanyonyana nae ulimi na midomo, yaani full kupeana utamu.

Halafu unatoka hapo unaenda kuomba msamaha kwa lipi sasa, unaomba msamaha kwa kupata utamu?

Me nadhani ifike point kuwa free kufuata hisia zako zinakupeleka wapi.

Sasa chukua mabegi yako uanze kuhamia kwa yule mshikaji mkaendelezee ulipoishia. Yeye si alikuwa anakutaka nenda sasa mkaishi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu najua Mimi ndio sijakamilika Ila isiwe sababu ya Mimi kutomwambia ukweli mleta mada kwamba aache umalaya asimwekee mitego yoyote mwanaume wake amuache aendelee kutafakari maana upweke alionao sio wa dunia hii
Ni kweli uyasemayo demu kazingua lkn ndo hivyo yashatokea, sasa anataka ushauri wa kuiludisha ndoa yake kwenye mstari that's why nikampa ushauri huo.

Kumbuka alitaka ushauri wa kumsaidia tu.
 
Back
Top Bottom