Umewahi Kumbana Na Vibaka??

Nkikuta kibaka anabondwa sehem lazma nimuongezee hapa nlipo waya ya dirshan kwangu inaning'inia washaniibia cm c chini ya 5 kwa mtindo wa nyav! Walet yaani nkikuta anapifwa sehem naleta petrol na kiberit,wao hawana huruma nyambaf zao
<br />
<br />
Hawa watu wana utalaam, utashtukia tu wamechana na usijue ni saa ngapi!! Wametuibia sana enzi hizo tukiwa boarding ila na sisi tulikuwa tukiwakamata tu, tunawagea kipondo cha uhakika hatujali cha police wala nani na wengine walienda kufia hospitali!
 
Mimi kila siku nashangazwa na namna wanavyoiba kwa kupitia madirishani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom