Hongera kwa kuwa na mwili wa mazoezi, ila inabidi uwe makini kila wakati maana hawa jamaa hawatabiriki.Nashukuru Mungu umbo na muonekano wangu wa kimazoezi walau vinanisaidia kutokumbana na masaibu haya. Ila siku nikikumbana nayo nitakuja hapa kutoa ushuhuda wangu. Asante na poleni wandugu!
Dah!! Hao walidhamiria kuua kabisa, hawa jamaa ni hatari..Sina hamu na vibaka walishawahi kunishambulia kama mara mbili.

Nilikuwa napita mitaa ya kinondoni mosko njia ya kwenda muhimbili Hospitali, nilivamiwa na vibaka kama watoto mmoja akanivisha ndoo ya plasitiki kichwani ikanifunika mpaka mabega nikawa sina ujanja wakachuwa pesa, simu, viatu, raia wema ndio wakanisaidia kuivua ndoo, nikaomba na maji ya kunywa kwa jinsi koo lilivyokauka kwa kiu
Pole sana, hiyo ya kuvamiwa hadi nyumbani ndio mbaya zaidi...Poleni wazee, mie nlivamiwa wakati fulani nikitokea kwenye maraha, mitaa ya tegeta uninuo, naingia tu kwenye taksi baada ya kushuka kwenye daladala, washenzi kumbe walishanimaki, wakachukua simu zangu 2, alfu tano na kuchana suruali yangu.

Mara ya pili nilivamiwa nyumbani, wakavunja vidude vya geti vya kuweka makufuli halafu mlango, nikapiga simu kwa mapolisi defender, walivyosikia jamaa wana gobole, hawakuja!

Wakuu sikieni hadithi tu, ila ikikutokea, wazee hata kulala inakua taabu mno, na ukipata usingizi unaota unavamiwa, ukisikia sauti roho inakwenda mbio.

Na ndio maana nikisikia wanachomwa moto kwa kweli sina huruma nao, pamoja na kwamba sa ingine wanaochomwa wanakua wamesingiziwa.

Nachukua vibaka na majambazi ile mbaya kabisa wakuu!!
Lakini ata mimi nilishawahi kumfanyia unyama kibaka mmoja alikwiba home.Dah!! Hao walidhamiria kuua kabisa, hawa jamaa ni hatari..
Dah!! Hiyo adhabu ilimfaa sana..Lakini ata mimi nilishawahi kumfanyia unyama kibaka mmoja alikwiba home.
Nilivyomkamata nilimpa kikombe cha chai nikamwambia nataka asombe maji kwa kikombe mpaka ajaze pipa huku akichezea bakora za mgongo huku mguuni nimemfunga kamba