hamukoko
Member
- Mar 16, 2011
- 34
- 10
[Inasemekana adrenaline hormone inayozalishwa pale mtu anaposhtuka kwa kumuona nyoka ndio inasababisha ang'atwe kwani nyoka anahisi hatari inayomkabili na anajihami mapema. Na ndio maana inasemekana kama hujamuona nyoka na yeye kakuona hawezi kukudhuru, kwa kuwa hakuna adrenaline inayozalishwa. Wataalamu wanasema nyoka inahisi adrenaline inayozalishwa katika mwili wa binadamu.
Kwa watoto nadhani hiyo ishu ya adrenaline hormone ina-apply, kwa sababu hawajui hatari ya nyoka.]
mkuu katati nakubaliana na wewe, mie niliyekulia kijijini nimeshaona hii, nilienda kujisaidia porini, nilipomaliza kukata gogo nachukua majani nicha... natizama chini pale niliposhusha gogo namuona kifutu katulia, kwa kweli nilitoka mbio kama jogoo anavyokuza mtetea, sikuamini nilivyopona, manake ningekuwa sipo na jamii forum wala nisingeijua