Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
The answer is simple: Law of Love applies. When you act lovely towards anything the reaction you receive is love. Unapomwona nyoka ukahamaki the impression he receives is that you've considered him a threat therefore anakuona wewe ni threat kwake vile vile, lazima ajihami.
Kwa hiyo na sisi ni MALAIKA TULIOZEEKA?
makes sense..Inasemekana adrenaline hormone inayozalishwa pale mtu anaposhtuka kwa kumuona nyoka ndio inasababisha ang'atwe kwani nyoka anahisi hatari inayomkabili na anajihami mapema. Na ndio maana inasemekana kama hujamuona nyoka na yeye kakuona hawezi kukudhuru, kwa kuwa hakuna adrenaline inayozalishwa. Wataalamu wanasema nyoka inahisi adrenaline inayozalishwa katika mwili wa binadamu.
Kwa watoto nadhani hiyo ishu ya adrenaline hormone ina-apply, kwa sababu hawajui hatari ya nyoka.
Mkuu unaweza kuelezea kiundani zaidi?Mtoto ni sawa na malaika na malaika hana dhambi na watoto pia hawana dhambi
Hallo Wana JF,
Naomba kujua kutoka kwa yeyote yule Mwenye kujua kwa nn Nyoka hawadhuru Watoto.
Bibi yangu aliwahi kunisimulia visa Vingi vya Nyoka kukutwa akicheza na Mtoto. Na hakuna hata Mara Moja imeonyesha Mtoto kudhuriwa na Nyoka.
Nikamuuliza ni kwa nn, akanambia hiyo ni "NATURE/ASILI" Imeumbwa Hivyo. Ila akanipa tahadhari kuwa, Unapokutana na tukio kama Hilo ghafla Bin Vuu, Hutakiwi kupiga Kelele. Ukifanya hivyo basi hukasirika na Kumgonga Mtoto.
Akanambia kuwa vivyo hivyo nikimuona Nyoka akila Chakula kilichoachwa wazi au nikimuona Nyoka amekwea PiPa la Mbege huku akinywa Mvinyo ndani ya Pipa Basi Usije ukamshtua, kwani ukimshtua,hukasirika na kutemea huko Sumu.
Kwa yoyte mwenye uelewa Mpana naomba atupe elimu kuhusiana na jambo hili la kushangaza inakuwaje Nyoka amheshimu mtoto kiasi cha kucheza naye tu na kutokumdhuru!??
Nawakilisha kwenu wana Jf kwa ajili ya Upembuzi yakinifu.
Hallo Wana JF, Naomba kujua kutoka kwa yeyote yule Mwenye kujua kwa nn Nyoka hawadhuru Watoto.
Kutia ndani chatu?
Akanambia kuwa vivyo hivyo nikimuona Nyoka akila Chakula kilichoachwa wazi au nikimuona Nyoka amekwea PiPa la Mbege huku akinywa Mvinyo ndani ya Pipa Basi Usije ukamshtua, kwani ukimshtua,hukasirika na kutemea huko Sumu.
Do, hii sikuijua. Nyoka wa Moshi wanakunywa mbege?
Hili Swali Linawafaa Sana Wasukuma ambao Jadi Yao Ni Kuishi na Mijoka na Sitasahau Miaka Yangu 3 Chuoni Mwanza ilikuwa Kukutana na Nyoka Chumbani au ktk Kitanda Chako au Bafuni na Chooni Ni Kitu Cha Kawaida Sana. Jamani Kanda Ya Ziwa Kuna Mijoka Acheni Masihara!!!!!!!!!!!!!! Wasukuma Humu JF hebu Tusaidieni basi na Majibu Ya Jamaa huyo Japo Tunajua Nyoka Wenu Mnafuga Kwa Imani Zenu Zileeeeeeee.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sijajua kama ni kweli ila nadhani ni bahati 2 ya mtt kuto kundurika maana tuxha wahi kumuona mtt kang'atwa lakini sijajua kwa upana lakini 2kio hilo lilitokea