Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

Wadau,even my self nilishawahi kukutana na Chui mwaka 2001 nikiwa na umri wa miaka 15 na hakunidhuru hata kidogo,aliikalia baiskeli yangu huku anaunguruma tu coz nilianguka baada ya yy kutokea na alikuwa mkubwa sana and it seems alikuwa ananyonyesha coz maziwa yake yalikuwa yameshuka sana,baada ya muda akaondoka nami safari ikaishia hapo nikarudi nyumbani,even though hadi hii leo watu wa eneo hilo hawaamini hilo tukio coz wanasema hawajawahi kumwona Chui wala kumsikia,bt its a true story na hadi leo nashindwa kuelewa kwann ilikuwa vile,mwenye uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
 
Duuh wapi uko
 
Duh wapi hiyo
 
Wadau,even my self nilishawahi kukutana na Chui mwaka 2001 nikiwa na umri wa miaka 15 na hakunidhuru hata kidogo,aliikalia baiskeli yangu huku anaunguruma tu coz nilianguka baada ya yy kutokea na alikuwa mkubwa sana and it seems alikuwa ananyonyesha coz maziwa yake yalikuwa yameshuka sana,baada ya muda akaondoka nami safari ikaishia hapo nikarudi nyumbani,even though hadi hii leo watu wa eneo hilo hawaamini hilo tukio coz wanasema hawajawahi kumwona Chui wala kumsikia,bt its a true story na hadi leo nashindwa kuelewa kwann ilikuwa vile,mwenye uelewa wa kina juu ya hi
 
Duh wapi hiyo

Ilikuwa Masasi ,na nilikuwa naenda kijijini kwa baba almost kama km 5 toka Mjini na ilikuwa time ya saa tatu hv am @ Sheba,na hilo eneo linaitwa Chiwisi umbali kama wa mita 150 kufika centre ya kijiji kimoja kinaitwa Sautimoja kabla ya kufika huko nilikokuwa naelekea..Thts t.
 
Last edited by a moderator:
Wadau,even my self nilishawahi kukutana na Chui mwaka 2001 nikiwa na umri wa miaka 15 na hakunidhuru hata kidogo,aliikalia baiskeli yangu huku anaunguruma tu coz nilianguka baada ya yy kutokea na alikuwa mkubwa sana and it seems alikuwa ananyonyesha coz maziwa yake yalikuwa yameshuka sana,baada ya muda akaondoka nami safari ikaishia hapo nikarudi nyumbani,even though hadi hii leo watu wa eneo hilo hawaamini hilo tukio coz wanasema hawajawahi kumwona Chui wala kumsikia,bt its a true story na hadi leo nashindwa kuelewa kwann ilikuwa vile,mwenye uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.

Mimi naamini 100% hiyo niliiona kwa watu wanaotengeneza documentaries hao jamaa sijui walikufa wanaitwa Mad Maike na Mark kama sijakosea. Chui alipanda gari lao juu lilikuwa wazi kisha akawanusa nakuendelea kukaa hapohapo baadae akashuka akasepa zake.
 
Back
Top Bottom