Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

But those pythons never attempted to eat those little babies let alone babies/ humans not being on their food chain.

How do you explain that?

And it's not like the other types of snakes don't eat or don't hunt for food.

Ok, they are ain't in their food chain, but chatu akizidiwa anakula chochote akionacho mbele yake just for survival.
 
snake_1420944c.jpg

mkuu asante sana kwa hii picha.
kadoda11 : raisi wa #TeamWekaPicha
 
Last edited by a moderator:
Ok, they are ain't in their food chain, but chatu akizidiwa anakula chochote akionacho mbele yake just for survival.

Lakini hao chatu hata hawakujaribu kuwala hao watoto. Hapo unasemaje?
 
Inasemekana adrenaline hormone inayozalishwa pale mtu anaposhtuka kwa kumuona nyoka ndio inasababisha ang'atwe kwani nyoka anahisi hatari inayomkabili na anajihami mapema. Na ndio maana inasemekana kama hujamuona nyoka na yeye kakuona hawezi kukudhuru, kwa kuwa hakuna adrenaline inayozalishwa. Wataalamu wanasema nyoka inahisi adrenaline inayozalishwa katika mwili wa binadamu.
Kwa watoto nadhani hiyo ishu ya adrenaline hormone ina-apply, kwa sababu hawajui hatari ya nyoka.

Uko very right ndio maana kuna baadhi ya watu wana uwezo wa kulina asali bila kuumwa na nyuki, unapo-relax na hizo adrenaline hazi-react LAKINI UKIWA NA HOFU KUNA ADRENALINE ZINAZOZALISHWA na ambazo hutoa harufu fulani na harufu hio huleta interpretation kwa either Mbwa, Nyoka, Nyuki na viumbe wengine kuwa something is wrong and you must act.....ndio pale sasa unakuwa attacked. Utasikia kwa mfano watu wanasema ukimuona SIMBA wewe tulia tu....au kwa issue ya mtoto ni kwasababumtoto yeye adrenaline yake iko chini sana......nimejaribu tu na mimi kueleza ninachokielewa

Ni kwasababu ya sense of INNOCENCE: Nitaeleza

Kwa kawaida mtu anapopata mstuko huexcrete hormones ambazo humfanya ajihami na kuwa tayari kushambulia wakati wowote. Kimsingi hutoa adrenaline, hii huongeza hasira, nguvu na mambo mengine kama hayo. Sasa.......... adrenaline hutoa harufu au hujenga muunganiko (Nashindwa kuuelezea kibiolojia) na kile kitu ambacho kitashambuliwa. Mfano mtu anapokasirika kama amemkasirikia mwingine, ile hormone humvuta na kumjenga yule anayekasirikiwa na hatimaye naye huanza kujihami. Ndo maana mtu akikukasirikia utajikuta na wewe unamkasirikia (We become suggestible to other people's emotions) au kulia unapomuona mwingine analia hata kama hujui ni kwanini analia.

Back to the topic: Kwa vile mtoto ana sense of innocence, akimuona nyoka, wala hatastuka na adrenaline haitakuwa excreted na hivyo kutomjengea hali wa kujihami. Jambo hili halitamfanya Nyoka naye kujihami so anaweza "kucheza" na mtoto bila shida na bila kumdhuru. But akitokea mtu mzima ghafla na anastuka na kuexcrete adrenaline, then huyo nyoka anaweza kumng'ata mtoto kwasababu ya "mistaken identity" (kama ulivoambiwa ukimstua nyoka atatema SUMU kwenye mbege)

Nimejibu kwa maelezo ya kawaida (a layman's knowledge)

Nyoka ana uwezo wa ku sense anxiety level.

Kwa mtu mzima, ukimuona nyoka unastuka, nyoka anajua umestuka na hili linajenga tension anaweza kukuuma/ kukutemea sumu.

Kwa mtoto, mtoto hajui kama nyoka ni hatari, kwa hiyo anakuwa hana anxiety, anacheza naye tu.

Watalaam, inaonekana mnaeleza katika upande mmoja wa shilingi, kwamba nyoka umdunga mtu mzima aliyezidisha anxiety level.

Kwa maelezo hayo mnataka kusema kwamba nyoka ung'ata tu mtu aliyemwona nyoka mbele yake. Je, vipi kuhusu watu wanaong'atwa na nyoka bila kufahamu kama kuna nyoka mahala hapo?

Hivi rattlesnake, katika jamii zao zote, anavyoji-camouflage, binadamu anaweza kujua kama kuna nyoka mbele yake ili anxiety level ipande ndipo adungwe? Na hii ya kuji-camouflage siyo kwa rattlesnake tu, bali jamii nyingi za joka wana hiyo sifa. Sasa kusema kwamba ili nyoka akudunge ni lazima anxiety level ya anayedungwa iwe juu, maswali mengi yanaibuka.

Na hapo mnavyoongea, mmezingatia pia mfumo wa maisha ya nyoka wanapokua katika mawindo na kuwindwa? Maana nyoka wanafahamika hata kungonga wanyama wakubwa katika mazingira ya kujilinda; wanyama ambao pengine wanaweza kuwa on the move, wakiwa hawana hata habari ya uwepo wa nyoka katika mapito yao!! Au mnataka kusema hata kwa wanyamapori, nao kudungwa na nyoka katika kujilinda, ni lazima anxiety level ya wanyamapori iwe juu?

Pengine labda mnataka kusema nyoka ana uwezo wa kutofautisha binadamu na wanyamapori!
 
Lakini hao chatu hata hawakujaribu kuwala hao watoto. Hapo unasemaje?

Mkuu mbona tunabishana kwa kitu kinachoeleweka? Ok hata hivyo nitajaribu kukuelezea ingawa najua wajua ila basi tu;
Kabla chatu hajala windo lake kwanza lazima avunje vunje mifupa by strangling its prey. Hatuya pili lazima amlainishe by slathering the prey with saliva souce for the easy swallowing. Sasa hizo stories ulizoleta hapa bado hao chatu walikuwa kwenye hatua za kuwauwa hao watoto na kuwavunja vunja mifupa kwanza kabla hawajameza na ndipo walipokutwa. Nazani nimekujibu swari lako mkuu.
 
Kabla chatu hajala windo lake kwanza lazima avunje vunje mifupa by strangling its prey.

Lete source kwamba anavunja vunja mifupa. Mimi nijuavyo chatu huwa wanambana prey hadi anashindwa kupumua na kufa kutokana na asphyxia.
Pythons, like many other snakes, kill their prey by the process of constriction, whereby they grasp the prey animal in their teeth to restrain it, hastily wrapping a number of coils around the body of the prey.

Then, by applying sufficient pressure to prevent the prey from being able to inhale, they ultimately cause it to succumb to asphyxia. The prey animal might also suffer some restriction to circulation during constriction, particularly where the snake's coils are wrapped around the animal's neck, but this is not usually fatal as death typically occurs much sooner due to asphyxiation.

Pythons do not, as popularly believed, crush or squeeze their prey to death, and when constricting normal sized prey, the snake will almost certainly never apply enough pressure to break bones. Source

Soma kwa umakini hapo nilipopakoleza na maandishi meusi yaliyo mazito na kupapigia mstari. Sasa nipe source yako inayo contradict hicho nilichokitoa kwenye source yangu.

Hatuya pili lazima amlainishe by slathering the prey with saliva souce for the easy swallowing.

Again, niwekee source hapa inayosema chatu humlainisha prey "by slathering'. Mimi nimekuwekea source inayosema kwamba chatu havunji vunji mifupa kama ulivyodai. Sasa nawe niwekee source au sources zako zinazosema kwamba chatu humlainisha prey wake kabla hajammeza.

Sasa hizo stories ulizoleta hapa bado hao chatu walikuwa kwenye hatua za kuwauwa hao watoto na kuwavunja vunja mifupa kwanza kabla hawajameza na ndipo walipokutwa. Nazani nimekujibu swari lako mkuu.

Unaongea kama vile ulikuwa kwenye simu na hao chatu huku wao wakiwa wanakuelezea mchakato. Chatu hawavunji mifupa. Kama wanavunja mifupa, niwekee sources hapa, ambazo ni credible, zinazosema kwamba hao nyoka huua kwa kuvunja mifupa.
 
hata nyoka anazo akiri anaerewa mtoto ni mtoto kwamwe hawazi kushika lungu na kumkamua ndio maana hana wasiwasi na uhai wake.

hata mm nilipouliza kwa nn nyoka anacheza na watoto nilijibiwa hv
 
Mungu wetu ni wa upendo ivyo mtt tunaambiwa ni Malaika, pia tujifunze kwakua nyoka nae anaelewa....zaidi badae

pia nyoka ni mwerevu ndo maana aliweza kumdanganya bibi eva ale 2nda
 
Hallo Wana JF,

Naomba kujua kutoka kwa yeyote yule Mwenye kujua kwa nn Nyoka hawadhuru Watoto.

Bibi yangu aliwahi kunisimulia visa Vingi vya Nyoka kukutwa akicheza na Mtoto. Na hakuna hata Mara Moja imeonyesha Mtoto kudhuriwa na Nyoka.
Nikamuuliza ni kwa nn, akanambia hiyo ni "NATURE/ASILI" Imeumbwa Hivyo. Ila akanipa tahadhari kuwa, Unapokutana na tukio kama Hilo ghafla Bin Vuu, Hutakiwi kupiga Kelele. Ukifanya hivyo basi hukasirika na Kumgonga Mtoto.

Akanambia kuwa vivyo hivyo nikimuona Nyoka akila Chakula kilichoachwa wazi au nikimuona Nyoka amekwea PiPa la Mbege huku akinywa Mvinyo ndani ya Pipa Basi Usije ukamshtua, kwani ukimshtua,hukasirika na kutemea huko Sumu.

Kwa yoyte mwenye uelewa Mpana naomba atupe elimu kuhusiana na jambo hili la kushangaza inakuwaje Nyoka amheshimu mtoto kiasi cha kucheza naye tu na kutokumdhuru!??

Nawakilisha kwenu wana Jf kwa ajili ya Upembuzi yakinifu.
sio kweli mkuu, na usijaribu kumuweka mtoto karibu na nyoka. Hawa nyoka wamengolewa meno, angalia jinsi wanavyowagonga watoto.

Baby Playing With Real Snake !! - YouTube

Small Baby Playing With Snake - Kissing To Snake - YouTube
 
Jamani kweli JF ni darasa tosha, nimepata maarifa ya kutosha juu ya results of reaction connected to this topic. ni kweli the Law of Love or the sense of innocence linked to Adrenaline hormone ndicho chanzo. nimeamini kweli pasipo maarifa ni majanga tu na hii nadhani ni applicable kila kona ya maisha.

mm mwenyewe nime get knowledge
 
Back
Top Bottom