Umevaaje

Umevaaje

Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?

Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?

Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu

Hahahaha, du! nimekupenda tu na huo ukali wako. Siku nyingine waambie umevaa magwanda ya Chadema.
 
Ukweli ni kwamba rangi ya chupi ni moja ya vitu muhimu sana katika kusisimua penzi. Rangi nyeupe kwa mwanamke black beauty ni mpango mzima pamoja na rangi ya cream, kijivu na baby yellow. Ila kwa sasa hivi wanawake wenye uelewa kidogo wanakimbilia kuvaa rangi nyeupe na kuwa na rundo la chupi nyeupe kwa kujionyesha kwa mpenzi wake jinsi gani anajali usafi bila kutambua muonekano wake utakuaje kwa mwenzake.
kwamtoro, unajua hadi rang ipi ya chupi ni nzuri....!!! mmh! unanitisha Kaka... naona kama unamichepuko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom