Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,566
Siku hizi vyakula hapost kutufundisha![]()


unafanya mchezo na kwa dizonga
Siku hizi vyakula hapost kutufundisha![]()


unafanya mchezo na kwa dizonga😂😂😂😂 Nyumba yetu.🤣🤣🤣🤣Unaleta utemi kwenye nyumba ya watu?
Hope ashapokeaKuna kitu anakitafuta we muache 😂😂😂
Antonnia ndo alomwambia sir midabwada atafute mill 100 ndo wakae mezani wajadiliane 😂😂😂Jamaa mjanja sana hajataka maneno mengi kamtangulizia antonnia mil 100, kazi kwa antonnia kuikubali au kuikataa![]()
Shem bado!! Yupo kuzogoa tu hapa 😂😂Hope ashapokea
Umeona hio buti ukajua ni mwalimu tu huyu😝😝😝Mkuu samahani! We ni mwalimu?
Tutakaribia baba Ahsante sana!!🙏
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji 😂😂😂
Jpili church ibada ya kwanza 😂😂😂🤣🤣🤣
Yesu nisamehe
Mil 100 anayo au ndio anaenda kuitafuta??Antonnia ndo alomwambia sir midabwada atafute mill 100 ndo wakae mezani wajadiliane
Lasivyo asimsumbue![]()



Hawezi mtoto mdogo yule😂😂😂🤣🤣🤣🤣 imekula kwako
Mshamba atakucheka
Tayana I miss u mama mchungaji
Yesu nisamehe
Ila Kwa kuwa ni mwenyeji yafungulie tu hayatakua makali kwakeShem bado!! Yupo kuzogoa tu hapa 😂😂
Mimi najiandaa kufungulia mbwa nifunge mageti nilale!!
Pokea simu kwanza niko serious ujue 😂😂😂Mil 100 anayo au ndio anaenda kuitafuta??![]()
Amen,😂😂😂 Nabii anajiweza, kachafuka pesa.
Hategemei sadaka za waumini
Kakataaa kbs ila ni mwalimu huyo yupo temeke anafundisha English age 26Umeona hio buti ukajua ni mwalimu tu huyu😝😝😝
Walimu badilisheni mapigo watu wasiwakariri
Wanakuja baba sema wanaonekana mambo ya kidunia yamewatawala sana 😂Amen,
ni kweli na hakika, Mungu Atosha...
Sadaka ni muda na utayari wako wa kumpokea bwana kuwa mokozi wa maisha yako. Ile ingine ni ziada, hiari na uamuzi yako...