Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mkuu naomba msaada jina la hilo ua nyuma ya huyo dada nimelipenda nataka nilipande nyumbani.View attachment 2819049
Sio mimi nimetupia tu wakuu, mwenyewe nimekaokota kwa Twitter
Mkuu naomba msaada jina la hilo ua nyuma ya huyo dada nimelipenda nataka nilipande nyumbani.View attachment 2819049
Sio mimi nimetupia tu wakuu, mwenyewe nimekaokota kwa Twitter
ataambatana na mtumishi wa Mungu kwa furaha😂 mpaka kwenye ufalme wa MileleHuyo fundi mbinguni Moja Kwa Moja.!!
Nimemwambia kijana ayavutishe bhangi yasinuse harufu ya mtu yoyote!!😂😂😂Ila Kwa kuwa ni mwenyeji yafungulie tu hayatakua makali kwake
Babe ulikuwa wapi jamani.Amenikera,niko hapa natumbua macho tu hata simuoni wala dalili ya kuambiwa nitakuja na muda nilimpatia.
😂😂😂😂 Wifi pole sanaNaona ndio kaachiwa sasa hivi😒. Pesa zote zimechukuliwa na amelishwa apple likiwa kwenye nyonyo🙌.
Pokea simu kwanza niko serious ujue
Mill 100 kasema bado yuko kuzichanga
Zikikamilika atamcheck![]()



Amekosea sana!!
Wewe acha tu.😂😂😂😂 Wifi pole sana
Katafuna apple na nyonyo kwa pamoja
Naona ndio kaachiwa sasa hivi. Pesa zote zimechukuliwa na amelishwa apple likiwa kwenye nyonyo
.


Network naipata wapi kwenye hizi tracks za kijijini ?na dereva anasema nitampotezea network ,19hrs ..tangu natoka nakuambiaNaona ndio kaachiwa sasa hivi😒. Pesa zote zimechukuliwa na amelishwa apple likiwa kwenye nyonyo🙌.
Kantry simu unapokea au hupokei??!
Maokoto kamalizia kwenye apple nakwambia 😂Amekosea sana!!
Nipeni maokoto yangu kwanza kabla hamjaanza kugombana bro 😂😂😂
Katika ubinafsi wa maombi yangu kwa Mungu, nitawaambatasha bila tashwishwi yeyote. Mungu atawagusa na watamwendea tu hata kama si kupitia kwangu...Wanakuja baba sema wanaonekana mambo ya kidunia yamewatawala sana 😂
Wohiiiii!! Alooo 😂😂😂Wewe acha tu.
Usikute kaogeshwa kwenye beseni😢
I understand, pole babe wanguNetwork naipata wapi kwenye hizi tracks za kijijini ?na dereva anasema nitampotezea network ,19hrs ..tangu natoka nakuambia
🤣🤣🤣🤣 asalaleeeeMaokoto kamalizia kwenye apple nakwambia 😂