Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Oohh hallelujah,
Karibuni sana katika madhabahu teule ya bwana, mchote mibaraka kama yote, na Mungu atawabariki sana ....
Natoa huduma J4 na ijumaa jioni pia,
Karibuni sana
Tutakaribia baba Ahsante sana!!🙏
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji 😂😂😂
 
Oohh!!!
huyu anafanya nini tena kwenye bustani
Tutakaribia baba Ahsante sana!!🙏
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji 😂😂😂
Na Bwana wa Majeshi atawatakasa kabisa na kuwavisha utu mpya, kiroho na kimwili, na watakua weupe kama pamba wakifurahia vema kibali na zawadi ya uhai, afya njema, maisha mazuri na matamu alizowajaali Mungu mwenyewe...
 
Tutakaribia baba Ahsante sana!!🙏
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji 😂😂😂
Siwezi ibiwa Sadaka zangu Mimi!ushindwe na huyo nabii wako kisheti!🤣🤣🤣
 
FB_IMG_17004139121839231.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom