Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

D
IMG_20231118_101832.jpg
 
Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane poa na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankal tatizo wanaoreport hawaonekani, utashangaa mtu akakasirika kisa pic ambayo hata haimuhusu!!!
Pap anabonyeza report anajaza maelezo ya uongo anatuma 😂😂🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom