Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wii uko wapi mwenzetu?!! Sio kwa good morning hiyo 😂😂😂
Au tayari ushaenda kwa bro? Tushakuwa zone tofauti? 😂😂
I miss u too sweetie wiwii 🥰🥰
😂😂😂Acha tu broo wako anazubaa sana nitamtafutia msaidiz soon tu Ili anizabue makofi vizuri tuchangamke
Penz limepoa sana kama mkojo wa swala 😂😂😂
 
Baba mtumishi tunaomba uturingishie suit ya kichungaji wanakondoo waone pls kwa heshima yako 😂
hapo ni karibia mchungaji kiongozi kuwasili kwenye eneo ya maombi watumishi mbalimbali wakiwa tayari
 

Attachments

  • IMG_20231115_094152.jpg
    IMG_20231115_094152.jpg
    83.9 KB · Views: 13

Similar Discussions

Back
Top Bottom