Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,911
- 21,928
Tupia lako😂😂😂 Me niko nasubiri kuona hips nimelimiss kinoma
Tupia lako😂😂😂 Me niko nasubiri kuona hips nimelimiss kinoma
Hii hatutaki hekaheka mdogo wangu pepo la mvurugano lishendweee😁!Dada kesho pika pilau tusherehekee heka heka zimerudi😀😀
Ongea na mmiliki wa chimbo, abadilishe meza bhana, utadhan meza za bucha za vingungutii kidarajani.





Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali? JF nzima hapa hakuna wa kumfikia 100% 🔥🔥🔥❤️
Nimemiss lile tabasamu ndugu mjumbe do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nakuona
Naomba dials za huyo mkaka, ana kitu afu atafika mbali, ko nataka nimsindikize tufike wote.Niko palee, kuna mtu nasubiria atume




😂😂😂 La mstarijando LA foleni? Au la mafungu.
Kuzima kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
😂😂😂 unaogopa?ctakiiii, unataka wamnyakue ju kwa ju?
Nyakunyaku wa JF hapana![]()
Pepo amekaa pembeni anatuambia Bado hamjasema😀😀😀Hii hatutaki hekaheka mdogo wangu pepo la mvurugano lishendweee😁!
Acha wawe vitombiii, wanapitia magumu.La mstari
Kuna clip niliona sijui watu wa wapi wale, wamewaweka mstari ngariba akipita anakata km anakata nyama kisu kikali!!!
Mpk chango lilicheza, nikasema wanaume kumbe nao wanapitia magumu shenzy zao!!![]()



hasira wanamalizia kwenye kuloweka kila shimo walionalo.Hata ninalo sasa? 😂😂😂Tupia lako
unaogopa?
Udugu wewe wa kuogopa nyaku nyaku kweli??



uduguu sitakii, mume anauma ujuee?