cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Had msemeee,Pepo amekaa pembeni anatuambia Bado hamjasema![]()




Ukute pepo ndo mie sasa, mtafanyajeee??
Had msemeee,Pepo amekaa pembeni anatuambia Bado hamjasema![]()




wewe tena pendapenda 😂Naomba dials za huyo mkaka, ana kitu afu atafika mbali, ko nataka nimsindikize tufike wote.
![]()
Hatimaye babu uvumilivu umekushinda umekuja 🤣🤣🤣🤣Baswahili ni watu wa ajabu sana,
Kuvaa nguo ni haki ya mtu yoyote,popote pale hata majani mtu anaweza kuvaa
Sasa nyinyi mnaona ajabu tuoneshane nguo za nini tena?
Ukipendeza pendeza kivyako,
Hujapendeza subiri awamu ingine.
Kuuliza umevaa nini ni Ushamba mwingi sana.
Tunakuogeshea maji ya mwamposa 😂😂😂maana kukunyunyuzia haitoshi😂😂😂Had msemeee,
Ukute pepo ndo mie sasa, mtafanyajeee??
Mume wangu hebu tulia, wee mzee sahiv achia vijana tufurahie wakati wetu.Baswahili ni watu wa ajabu sana,
Kuvaa nguo ni haki ya mtu yoyote,popote pale hata majani mtu anaweza kuvaa
Sasa nyinyi mnaona ajabu tuoneshane nguo za nini tena?
Ukipendeza pendeza kivyako,
Hujapendeza subiri awamu ingine.
Kuuliza umevaa nini ni Ushamba mwingi sana.




Kweli umelewa kumbikumbi 😂😂😂Acha wawe vitombiii, wanapitia magumu.
hasira wanamalizia kwenye kuloweka kila shimo walionalo.
Nimeanza kulewaa kumbikumbi wallah.
🤣🤣🤣🤣 kumbe Babu mi mmeo?Mume wangu hebu tulia, wee mzee sahiv achia vijana tufurahie wakati wetu.
Hutaki nipate wa kukusaidia majukumu ya kitandani?![]()
wewe tena pendapenda
ntakutumia kule



maisha mafupi bhana, acha nihenyekee na watoto wa mama wakwe.
Hapa sio mashindano ya meza mjukuu ni kijiwe cha kutoa lockOngea na mmiliki wa chimbo, abadilishe meza bhana, utadhan meza za bucha za vingungutii kidarajani.
![]()

😂😂😂😂 Mi mwenyewe nakaribia kustaafu hekaheka! Ss hivi nashinda insta na Kantryuduguu sitakii, mume anauma ujuee?
Now nataka nitulie, heka heka za kugombea mkuyanyaa chitakiiiii.
Nimeshinda na kitenge kimoja nimefunga kifuani kingine kiunoni na kimtandio juu, sasa kila nikitaka kujiphoto nashindwa, bas nasoma tu comments .
Uduguu sikukuambia ndo aliyenipokea JF.kumbe Babu mi mmeo?


wazee wa busara wana baraka zao ktk maisha.
Acha ukorofii uduguuu huu uzi hatutaki hekaheka mjue!!
Mi mwenyewe nakaribia kustaafu hekaheka! Ss hivi nashinda insta na Kantry



insta ndo chimbo kuu LA sis wana heka heka.😂😂😂😂 Sema babu anachekeshaUduguu sikukuambia ndo aliyenipokea JF.
wazee wa busara wana baraka zao ktk maisha.
Kuna wakati huwa unanishangaza ila basi tu 🤐🤐🤐🤐🤐
Anko ndio uanaume huoLa mstari
Kuna clip niliona sijui watu wa wapi wale, wamewaweka mstari ngariba akipita anakata km anakata nyama kisu kikali!!!
Mpk chango lilicheza, nikasema wanaume kumbe nao wanapitia magumu shenzy zao!!![]()